Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

Izo dalili unazitoa wapi? Kwa uyu Mungu wa 4 7mbatizaji . kama ndie basi nife mdomo wazi na kama sie kufa mdomo wazi
 
nadhani ni muhimu zaid arudi ubelgiji kwa sababu anayo familia ingine huko na hiyo itapendeza zaid kwa maoni yangu 🐒
 
1. Aliwahi kuwa mbunge na hakufanya chochote cha maana kwa miaka 10. Uwezekano wa kutopata hata huo ubunge ni mkubwa tu.
2. Aliwahi kujaribu kujiinua zaidi ya mwenyekiti huko nyuma, yatamkuta yakutukuta. Ajaribu tena auine mziki wa mfalme mbowe.
3. Lisu hana charisma ya kuongoza chama cha siasa. Kitakufa baada ya kuanzishwa tu.
4. Hiyo ndiyo probable alternative. Chama hakiko salama, lakini abaki humo humo mpaka kieleweke.
 
Lissu LAZIMA agombee uRais kupitia CHADEMA. Ataongoza kwa kura hata kama hatatangazwa mshindi (rej. Nape na mhesabu kura wake).

Muhimu ataifanya CHADEMA kuendelea kuwa relevant kwa wananchi na kuendelea kuwa hai kama chama kikuu cha upinzani na tishio kwa watawala. Zile amsha amsha za kampeni na mihaho ya vyombo vya dola vitakuwa publicity tosha ya uhai wa chama.
 
Umetumwa na CCM ?
 
Au Mwenyekiti?
 
Hapana sio kweli
 
Pengine ubunge ndicho kitu anachokiweza.

Kama ameshindwa kutulia huko chadema naye awekwe tu kwenye kundi la watu wenye uchu wa madaraka na ubinafsi

U rais wa Tanzania hawezi kupata
 
1. Aliwahi kuwa mbunge na hakufanya chochote cha maana kwa miaka 10. Uwezekano wa kutopata hata huo ubunge ni mkubwa tu.
2. Aliwahi kujaribu kujiinua zaidi ya mwenyekiti huko nyuma, yatamkuta yakutukuta. Ajaribu tena auine mziki wa mfalme mbowe.
3. Lisu hana charisma ya kuongoza chama cha siasa. Kitakufa baada ya kuanzishwa tu.
4. Hiyo ndiyo probable alternative. Chama hakiko salama, lakini abaki humo humo mpaka kieleweke
Umetumwa na CCM ?
Unadhani wewe ulivyo rahisi kutumwa basi kila mtu ni rahisi kihivyo? Mimi ni independent, siko affiliated na chama chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…