Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

Wapinzani wasipoteze muda kwenyw kitu cha urais kwa katiba iliyopo
 
CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.

Tundu Lissu anatakiwa kuwaongoza wa-Tanzania wapenda Haki ktk Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya.
Aachane na mipango yake ya kugombea Urais kwani kwa Katiba hii mbaya kabisa iliyopo hata akipata Kura zote (kwa 100%) za Wagombea wa kiti Cha Urais hapa Tanzania bado hatatangazwa kuwa ndiye mshindi, badala yake mgombea wa CCM ndiye atakayetangazwa kuwa ameshinda
 
CDM kamwe haiwezi kuacha kumweka mgombea wa nafasi ya uraisi. Katika mazingira ya sasa ya kiasasa hapa nchini ndicho chama kikubwa cha upinzani kinachoitoa kamasi kila uchwao CCM. Kitakuwa ni kituko cha mwaka ku "compromise" na CCM ili iwaachie kwa ubwete nafasi ya urais kwa ajili ya kuahidiwa nafasi kadhaa za ubunge!!
Acha mawenge na kuweweseka hovyo. Kupiga ramli chonganishi kwa sasa wala haitakusaidia kitu chochote wewe.

CDM ina utaratibu wake wa kumpata mpeperusha bendera katika kinyang'anyiro cha nafasi ya urais. Tambua kuwa mtu kuwahi kuonyesha nia siyo kwamba watia wengine hawatajitokeza ndani ya chama. Ikitokea hivyo ni lazima washindanishwe ili apatikane mshindi, na huo ndiyo mchakato wa kidemokrasia unaofanyika siku zote ndani ya chama.

Hizo ngonjera za sijui Lissu kafanya nini, sijui anataka kufanya nini, sijui anawaza nini, peleka huko kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Kukubali maridhiano ni kuzidi kuangamiza nchi kwa pande zote kukubali rasilimali kutapanywa na kuliwa hovyo,bora mafuta yajitenge na maji huko mbeleni tutajua namna ya kunywa maji yaliyo salama
 
Karibu kunapambazuka alafu wewe unakuja na ushauri wakudhoofisha mapambano.
 
ila wewe
 
Mambo ya Samia yanaharibika kwa kasi ya ajabu, bila kucheza rafu kama Magufuli hapiti 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…