Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Uamuzi ni wako labda si lugha yakoWho cares?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uamuzi ni wako labda si lugha yakoWho cares?
Mbona unakurupuka umemuoana niliyem-quote hapo ameongelea habari za kiswahili?Kwani kiswahili hapo kinahusika vipi na dini ya mtu ??
Samahani nilifikiri ulinijibu mimi , naona kidogo umeanza ku improve katika uandishi wa lugha , Hongera sana👍Mbona unakurupuka umemuoana niliyem-quote hapo ameongelea habari za kiswahili?
Basata ingekuwa vyema msisitize matumizi ya kiswahili fasaha hasa kwa media na viongozi wakubwa pamoja na wasanii.Samahani nilifikiri ulinijibu mimi , naona kidogo umeanza ku improve katika uandishi wa lugha , Hongera sana👍
👍
Sawa Mkuu wakiandika humu pia tutawaweka sawaBasata ingekuwa vyema msisitize matumizi ya kiswahili fasaha hasa kwa media na viongozi wakubwa pamoja na wasanii.
Hao ndio waharibifu wakubwa
basata unaishia jf tu au ndio kitengo ulichopangiwaSawa Mkuu wakiandika humu pia tutawaweka sawa
basata unaishia jf tu au ndio kitengo ulichopangiwa
Hongera kwa juhudi zakoHapa JF , kuna watu kama nyinyi mnaotaka kukipeleka Kiswahili Babel 😛
Hata mimi natakujua lugha iliyo HalibiwaHili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,
Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.
Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Atlantis bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,
Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.
Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),
kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.
Kama utakuw unaufam kuhusu tech ya brain computer interaction(BCI) ni rahisi kuelewa ninacho maanisha.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.
Nakaribisha michango..,
itaendelea...
Nashukuru, nitajitahid kufanya hivyo.Mtoa mada pamoja na jitihada zako za kutafiti maandiko mbalimbali sijajua kwanini unachangia kiasi kikubwa kuharibu lugha adhimu ya Kiswahili?
Jitahidi kukifanyia maboresho Kiswahili chako ili tunaposema Kiswahili asili yake Tanzania na kukitendea haki kukifanya kuwa lugha ya taifa basi sie Watanzania tuwe mahiri kuliko wageni.
Asante.
Atlants ni sayansi fiction story. Hii toka kitambo Sana kwa planto wa ugiriki, but kupoteza kwa Atlants story ya kufikirika ukiichanganya na story real ya Babylon, Misiri Ashuru, unakosea Sana.Atlantis civilization ilikua Kwa kiwango kikubwa Cha Sayansi na technology,kiasi kwamba waliweza kusafiri kiwakati Kwenye Galaxies mbali mbali
Ukawa mwanzo wa mwingiliano wa spicies mbali mbali za Alien na binadamu kutokana na ugomvi wa kugombania anga na makoloni katika sayari mbali mbali ukazalisha vita kubwa Sana
Iliyosababisha uharibifu mkubwa Kwenye baadhi ya sayari Kwenye Galaxy za Milkway na Andromeda's
Inasadikika hata sayari Kama mars mwanzo zilikua zinasuport uhai na Kwa kua na uoto na maji ila nuclear weapons za wale viumbe uliharibu Kila kitu,Duniani Huku hasa Kwenye base ya Atlantis ikapigwa na kusambaratishwa na kupotezwa kabisa nana baadhi ya nuc weapon zikapiga na kusababisha majangwa mfano Sahara nk
Baada ya Ile vita kuisha na madhara makubwa Alien wengi wakajikita kujenga sayari zao zilizoharibiwa vibaya Sana na Moja ya mbinu walizotumia Alien wa kutoka sayari ya nibiru wakuitwa Annunaki ni kuja duniani kubeba madini ya dhahabu Ili kurecover anga zao Kwa hiyo technologia Yao,
Ila mabaki ya baadhi ya majengo ya zama za Atlantis ni pyramids za misri,Mexico Kwa waaztec,Huko Peru na Babylon ndio yanaonesha ushahidi kwamba Huko nyuma kulikua na tech ya ajabu!
Tofautisha Roho Mtakatifu (holy Spirit) ambaye ndiyo Roho wa Bwana, na roho wa binadamu (Soul). Roho Mtakatifu yupo toka mwanzo wa kuumbwa ulimwengu. Na kila binadamu anaweza kuingiwa na Roho Mtakatifu (Holy Spirit) ama Roho mchafu ( evil Spirit). Katika maisha ya Binadamu Roho Mtakatifu alifunuliwa na kuzihilishwa na Yesu Kuwa ni sehemu ya Mungu na atafanya kazi nasi baada ya yeye kupaaa .Hapo umeniacha "Roho wa bwana alikuwa ametulia juu ya vilindi vya maji"
Kila mtu anaroho mtakatifu?
Swala la volcano halina mahusiano na Dini. It's purely geoscience. National geographic huwa wanaonesha Sana miji ya kale mingine iliharibiwa na volcanoShida ni kuwa mimi sio mfuasi wa hizi dini.
yaani unataka kunambia Plato alikua anaijua Sayansi fiction Kwa kiwango kile mpaka aelezee Kwa ufasaha,Atlants ni sayansi fiction story. Hii toka kitambo Sana kwa planto wa ugiriki, but kupoteza kwa Atlants story ya kufikirika ukiichanganya na story real ya Babylon, Misiri Ashuru, unakosea Sana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kunasehem umenuliza maswali kuhusiana na Mungu ndio nimekujibu.Swala la volcano halina mahusiano na Dini. It's purely geoscience. National geographic huwa wanaonesha Sana miji ya kale mingine iliharibiwa na volcano
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Before ya kupaa hakufanya kazi na watu?Tofautisha Roho Mtakatifu (holy Spirit) ambaye ndiyo Roho wa Bwana, na roho wa binadamu (Soul). Roho Mtakatifu yupo toka mwanzo wa kuumbwa ulimwengu. Na kila binadamu anaweza kuingiwa na Roho Mtakatifu (Holy Spirit) ama Roho mchafu ( evil Spirit). Katika maisha ya Binadamu Roho Mtakatifu alifunuliwa na kuzihilishwa na Yesu Kuwa ni sehemu ya Mungu na atafanya kazi nasi baada ya yeye kupaaa .
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sipingani na wewe mwanadamu ni bingwa wa ku-create story,Atlants ni sayansi fiction story. Hii toka kitambo Sana kwa planto wa ugiriki, but kupoteza kwa Atlants story ya kufikirika ukiichanganya na story real ya Babylon, Misiri Ashuru, unakosea Sana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tumefichwa na nani?. Huo mji ilikuwa miaka ipi?. Maana archeology inatupa story ya Babylon, Misiri, Ashuru, Athens, Pompeii, makedonia etc with naked eye evidence. But Atlants inaelezwa ni kisiwa kilichokuwapo katika bahari ya Atlantic na kikapotea. Naomba nikwambie Kuwa dunia inamiaka 4.5 bilion year old. Dunia inavyoonekana kwa Sasa haikuwa hivyo, hata bahari ya Atlantic pamoja na ya Hindi hazikuwapo kabisa ukirudi nyuma 300million years ago. Hivyo swala lakupotea na kujitokeza viswa siyo jipya. Fiction inakuja katika swala la technology unayoizungumuza juu ya wakazi wa Atlants.yaani unataka kunambia Plato alikua anaijua Sayansi fiction Kwa kiwango kile mpaka aelezee Kwa ufasaha,
nakataa kabisa mkuu kwa zama zile asinge weza kufikiri kitu kikubwa vile ambacho Leo sisi Bado hatujakifikia kiteknolojia!
Hii Dunia haipo Kama unavyoiona mkuu Kuna Siri nyingi na maarifa tumefungwa tusijue watu Kama Huku Afrika ila hiyo kitu ilikwepo na ushahidi upo!
Ukweri elimu nyingi inayofundishwa Sasa msingi wake ni umetoka mbali, vitu vingi vilivyosemwa na akina Pythagoras, Socrate , arlstatle, Plato, arstachus hippachus etc ambayo walifundisha kabla ya Yesu ndiyo msingi wa elimu yetu. Wao walisema kwa kufikiri sisi tunayaprove wa sayansi na technology.Sipingani na na wewe mwanadamu ni bingwa wa ku-create story,
Ila hii mpaka kufikia kuiamini nimechunguza mpaka kujiridhiha.
Sijachanganya but ukijaribu kupitia historia in and out utanielewa.
Elimu ya kweli huwezi kuipata darasani wala kwenye dini.
Hata watu wasio waamin wanasema ni fiction kwa wanao amin.