wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Msingi wa elimu yote unayojua na uvumbuzi hadi wa mambo ya umeme uneanzia africa. Go deepUkweri elimu nyingi inayofundishwa Sasa msingi wake ni umetoka mbali, vitu vingi vilivyosemwa na akina Pythagoras, Socrate , arlstatle, Plato, arstachus hippachus etc ambayo walifundisha kabla ya Yesu ndiyo msingi wa elimu yetu. Wao walisema kwa kufikiri sisi tunayaprove wa sayansi na technology.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app