Ni lugha gani iliyohalibiwa babel na uhusiano wake na Antarctica?

Msingi wa elimu yote unayojua na uvumbuzi hadi wa mambo ya umeme uneanzia africa. Go deep
 
Ukishajua hao walipata wapi maarifa na walijifunza wap unaweza ukawa na credentials za kujua elimu ya kweli.
Ni elimu hiyo hiyo ndio imekufundisha wao ndio msingi wa elimu kitu ambacho sio kweli leo mpaka kesho.
Katika historia yote niliyosoma hakuna mahali Athens imetajwa kuwa ni center of modern civilization wala elimu ni upotoshaji tu.
 
Mkuu kwani na wewe ni muumini wa imani ya kwamba binadamu amewahi kufika mwezini?!
 
Jibu lililojaa hekima
 
Mkuu kwani na wewe ni muumini wa imani ya kwamba binadamu amewahi kufika mwezini?!
siwez ku-declare course kunamashaka mengi kama jaribio la kumpeleka mwadamu mwezini lilifanikiwa.
Kwa sababu ya nature ya binadamu ambapo kunaeneo lisilo kuwa na mvutano inasadikika moyo wa mwanadamu hauwezi kudunda
so damu haaiwezi kuzunguka.
Ila hakuna shaka kama vifaa vya mwanadamu vishawahi kutua mwezini kitu ambacho sikitofautishi na mwanadamu kufika mwezini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…