Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Kwanini wewe unefikiria neno mpe mku
... Ndiyo limesababisha afungiwe?
Kama wewe unawapa watu mku... ni wewe usifikiri kila mtu anaona sawa kutoa mku...
 
Huyo kafungiwa zenji na wewe inabidi upigwe ban Jf kwa kuleta hiyo video
 
Mkiendelea kuwaachia na ujinga wao kuna siku wataenda kuwekana mbele ya jukwaa na huyo mwehu mwenzie.

Mtu una wazazi wako hai kabisa unatamkaje hivyo mbele za watu? Mi sielewi mtu unawezaje kukosa adabu kiasi hicho hata kama ndio usanii.
Narudia Tena kusema, ninge kuwa mkubwa ninge kuoa.
Una Akili Sana😍🤓
 
Alianza udogoni kwani sasa ni mkubwa?
 
Na wewe ilikuwaje ukaanza kuwekwa kinyume na maumbile ukubwani?
 
Yule anatafuta kiki tu. Ndio maana baada ya kuropoka kakimbia kuomba Radhi, anajua analofanya na sio kwamba kakosea. Wewe Baki kutetea mpaka utachoka.
Mimi siwezi kumtetea kwani hanihusu ila kitendo cha kusema mku sidhani kama ni haki ya kumuhukumu kwani maana ni nyingi sana kuhusu hilo neno japo pia jaweza kuwa kalitumia ili kuleta sintofahamu ila hali hakuna ushahidi wa alichomaanisha
 
Mimi siwezi kumtetea kwani hanihusu ila kitendo cha kusema mku sidhani kama ni haki ya kumuhukumu kwani maana ni nyingi sana kuhusu hilo neno japo pia jaweza kuwa kalitumia ili kuleta sintofahamu ila hali hakuna ushahidi wa alichomaanisha
Kuna lugha ya ishara.Aliposema mku akaonyesha kwa ishara anamaanisha nini.
Angeimba mku halafu akaonyesha ishara ya mkufu watu wangetafsiri alichomaanisha.
Alionyesha wazi alichomaanisha na ndio sababu ameomba radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…