Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Ila kuomba radhi siyo justification ya kuwa umekubali kosa mkuu. Mkuu kuna ile unaona bora yaishe basi unaomba radhi badala ya kuendelea kugombana wakati wajua umeshika wapi na adui kashika wapi
Hiyo ya kwako ni assumption. Ukiomba radhi ni kwamba umekubali kwamba umekosea.Na hiyo ndio generally inavyofahamika.Kama unajua hujakosa na unaomba radhi kwenye jambo kubwa la kitaifa basi una matatizo. Kama ni masuala binafsi ili kupunguza munkari ni justified kwa sababu haiathiri maslahi ya wengi.
 
Kwa namna moja au nyingine uko sahihi, lakini nikikuuliza wewe kama wewe uko tayari kushindana na taasisi za kiserikali wakati biashara yako imesimama?
 
Hako kabinti wangekafungia maisha Huwa kaniambia upuuzi sana kinatuharibia watoto kwa nyimbo zake za matusi
 
Kushindana siwezi ndio maana siwezi kufanya makosa ya kijinga yatakayoniweka kwenye hiyo hali.
 
Kwa kuwa wewe si mzanzibari inakuhusu nini?
Kenge wewe.
 
Kama mtu hana bikira ndio atembee uchi owky nime kuelewa
Wazungu wanavaa bikini lakini ndiyo wanaongoza kwa maendeleo na kusimamia sheria 100%. Hata kuzaana siyo sana ila sisi waafrika mtu akiwa na vihela tu anaongeza mke mpaka wanafika 3. Watoto 20
Sisi waafrika tunavaa nguo za kujistili lakini ndiyo tunaongoza kuzaana, lindi la umasikini na kutosimamia sheria 100%
R. Kelly angekuwa Afrika asingefungwa ila huko Amerika. Sheria imesimamia ukucha.
Mtu yupo ukumbini tena hapo kaenda na mwanamke siyo wake (hata mke wa mtu), kuna bia zinauzwa cha ajabu mwingine kaenda na familia mke, mama mzazi, watoto, baba yake. Unafikiri kinatokea nini?
Kuna nyimbo au video za kuangalia na familia na zingine hapana.
Mfano Zuwena unawezw kuangalia na familia
Honey - Wewe na mkeo tu
 

Kweli Dainamo habanduki hata wampe MKU.
 
Mmpe
 
Pole Zuu, mafanikio uambatana na chuki usshakuwa supastaa utachukiwa na kupigwa vita sana
 
Ukipewa mku.. na fundi afu demu wako hakupi .huchomoi
 
Angalia aliposema mku... alishika wapi 😁
 
Alimaanisha "hata mumpe Mkuranga Scientific University of the Universal Science"
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…