Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Unapokuwa katika mahusiano yoyote huwa kuna nyakati zinafika au unapitia unaona hapa bora nichukue uamuzi mgumu lolote liwe.

Mimi niliwahi kumwambia mpenzi wangu niliwahi kumpenda tuachane baada ya toxic relationship kubadili mwelekeo wa maisha yangu ilibidi ni kuvunja mahusiano kwa mtu niliempendaga sana mpaka leo akiniona haamini.
 
Acha ninyamaze kimya in Diamond Platinum voice.


Mbuzibee 🐐
 
Mwaka 2016 nilimwambia wife kua kuna siku itafika nitachoka na nitaondoka kama nilivyo. Akanijibu unapakwenda zaidi ya nyumba hii? Siku ilipofika niliondoka asubuhi nikaenda job.

Sikurudi tena mpaka leo 2021nikimuachia kila kitu. Amehangaika kila kona kuanzia Kanisani na Kwa wazazi, marafiki but nimemwambia tayari nilishaamua na mwaka huu naoa after 5 years.
 
Same to me. Na nahisi ndo mwanamke pekee niliyewahi kumpenda lakini ilibidi niyavunje na yeye hakutegemea alihisi tutarudiana. Imekuwa miaka 2 now.
 
Du
 
Alikukosea nini hasa kikubwa?
Dharau kwangu na zikaanza kwenda mpaka Kwa wazazi. Ila ikafikia kila mtu anafanya maamuzi yake bila kumshirikisha mwenzake though mnalala Kitanda kimoja.

Nilipoona uanaume wangu ndani ya nyumba umeisha pamoja na kuprovide kila kitu kwa familia yangu. Nikaona strock na pressure zitaniua ngoja nimuache ajitanue pekeyake mimi nilee wanangu hukohuko niliko.
 
Aisee!
 
What happened??...[emoji15]
 
Nilipoenda kwa mama wa demu wangu kujitambulisha licha ya kuwa nilimkaba na kumuibia kipochi mitaa ya sinza

Nilijua atakuwa amesahau nikajipa moyo nikafanya maamuzi ya kwenda kwake kutaka jiko ambe ni mwanae ....
Ikaweje sasa
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…