Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

Kuacha pombe.... niliteseka sana, sirudii
Mimi hii kitu bado inanisumbua Sana Nataka kuacha lakini nimeshindwa kufanya maamuzi magumu na Napata hasara Sana nisaidie Njia yako ulotumia plz
 
Mimi hii kitu bado inanisumbua Sana Nataka kuacha lakini nimeshindwa kufanya maamuzi magumu na Napata hasara Sana nisaidie Njia yako ulotumia plz
Hasara kunywa? Weweee hasara roho...
Hebu kunywa usiache,mi niliacha ila nimerudi tena mambo ya mirinda nyeusi siyawezi ila tu usiwe bwiiiiiiii
 
Kumuacha mke wangu kipenzi Asha ally Amani. Shikamoo mama usiyependa makuu sananakukumbuka kwa mengi ila nilisha move on
Kimchezo sana nikikwambia its over asubuhi na mapema !!
 
Kumrudia mwanamke alienisaliti mara nyingi na mbaya zaidi kutuma picha zake za utupu kwa mtu aliekutana nar Facebook na baada ya hapo akaanza kugeuzwa kitega uchumi kwa sababu ya oicha alizozituma kwa huyo mtu

Halikua maamuzi magumu na ya kijinga
 
Mwaka 2016 nilimwambia wife kua kuna siku itafika nitachoka na nitaondoka kama nilivyo. Akanijibu unapakwenda zaidi ya nyumba hii? Siku ilipofika niliondoka asubuhi nikaenda job.

Sikurudi tena mpaka leo 2021nikimuachia kila kitu. Amehangaika kila kona kuanzia Kanisani na Kwa wazazi, marafiki but nimemwambia tayari nilishaamua na mwaka huu naoa after 5 years.
Alifanya nini hadi ukafikia uamuzi huo wa kuajabia?
 
Mie nisie wahi kuwa ktk mahusiano, ni comment vipi?
 
Nilikua nae kwa miaka takribani sita (sababu tulikutana dakika za mwisho za kusoma kwangu) hadi familia za pande zote mbili zilikua zinafahamu kilichobakia ni kukamilisha jambo tu.

Ila nikampiga chini mwaka 2018 mazimaaa ani na sikutaka maelekezo zaidi
 
Mwaka 2016 nilimwambia wife kua kuna siku itafika nitachoka na nitaondoka kama nilivyo. Akanijibu unapakwenda zaidi ya nyumba hii? Siku ilipofika niliondoka asubuhi nikaenda job.

Sikurudi tena mpaka leo 2021nikimuachia kila kitu. Amehangaika kila kona kuanzia Kanisani na Kwa wazazi, marafiki but nimemwambia tayari nilishaamua na mwaka huu naoa after 5 years.
Interesting
 
Back
Top Bottom