Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

Kumtoa demua wangu nje majira ya saa8 usiku na kumfukuza baada ya kuniambia jama yangu amemtongoza
 
Ukianza kuona manhood inakuwa violated unatembea mbele....maisha mafupi haya, kwa nini ukae na mtu anakupa stress
 
Ndio ile hauwezi kutambua Umuhimu wa Mtu na thamani yake kwa yeye kukupatia uwepo wake , Ngoja siku atoweke awe mbali na wewe ndio utajua haujui
 
Aisee pole sana [emoji22]
 
Wahenga walisema ukitaka kujua matako yanaumuhimu gani basi jaribu kukalia Kichwa.
 
Mahusiano yenye njaa ni shaida tu hujaona yule kijana mmakonde kajionyeeesha na yule shangazi yake mara paap kamchoka anataka kula mwanaye , hii nchi imechangamka sana
 
Kuna jamaa alifanya ivi Singida tena miaka iyo iyo
 
Hahaha [emoji28][emoji1787][emoji28]
 
Safi Sana
 
Kuna siku nilianza kujitafuta(kufahamu mimi ni nani na kwa nini niko duniani). Asee hii nilikuwa ngumu baada ya kugundua mimi ni mimi.

Natania Jamani.
 
Mdada mrembo nimemtongoza kama week hivi akaingia line, kakubali kunipa game.

Siku ya tukio tuko ndani, manzi yupo kama alivozaliwa pussy imenoma hatari! Haikuchukua hata dk 2 nikamwambia vaa nguo tuondoke kuna sehemu nataka kwenda. Daah manzi alipigwa na butwaa why?!
 
Tulilewa tukiwa na baba mkwe, baadae tukagawana mabarmaid kila mtu akaenda kunyandua wakwake... Kilichoendelea baada ya hapo nitaleta story kamili. Nipeni like 30 nianze story
Huu utoto ujaacha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…