Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Uduguu kama nakuona uduguu uliliavaraga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weekend ntaenda kijiwe kimoja wanakuwepo ntakutumia voice note usikie uduguu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
umetawanyishwa?
 
Mimi huku nilipo kuna watu wananishangaa najisahu nawaita udugu hawaelewi [emoji1787][emoji1787][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo najisahau sana, sijui hata nifanyajee.
Woiiiiiih
 
Mabwana zao waimba singeli chini wamevaa vikuku vya elfu 2, wamebandika kope ndefu halafu zimejaa vumbi hawana habari, wanakwambia sio shida zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bhana hawa jamaa Wana mabalaa saivi siku nilimtokea mmoja bhana nilikua na upwiru wangu [emoji1787][emoji1787] uduguu ntakusimulia siku nyingine ucheke ufe

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Uduguu kama nakuona uduguu uliliavaraga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weekend ntaenda kijiwe kimoja wanakuwepo ntakutumia voice note usikie uduguu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naendaga uswazii siku moja moja, mambo ya miguu ya kuku iliyovirigwa na utumbo chips kavu za jero, maji ya kandoro mia mia, juice ya miwa kwa glass

Woiiiiiiiiih. Kumekuchaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo najisahau sana, sijui hata nifanyajee.
Woiiiiiih
Uduguu nilimkamtia mmoja mwaka mpya akanipe show anafanana na Zuwena wa Diamond vile vile na yy kaweka breach [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mabwana zao waimba singeli chini wamevaa vikuku vya elfu 2, wamebandika kope ndefu halafu zimejaa vumbi hawana habari, wanakwambia sio shida zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio shida zao kabisaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi napendaga wewe mambo hayo niende nikacheke wanavyotingisha tako mojamoja halafu yanapishana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wimbo huo unamtaja dj maarufu wa kupiga singeli bas wanavyoimba dj Titho, wee Titho waonyeshe aiseee! Ikifika hapo ni mvurugano

Yaani na miss kweli nikirudi lazima niwatafute udugu sasa usiombe uende wanakofunda mwali utacheka ufe [emoji1787][emoji1787]
Nataka nitumie zile style kwa baba watoto Kantri nione km nitatoboa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu maishaa ya uswaziii pambeee, mie nayapendaaa balaaaa, yaan hakuna kushanganaa ni km mambeleee vileeeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naendaga uswazii siku moja moja, mambo ya miguu ya kuku iliyovirigwa na utumbo chips kavu za jero, maji ya kandoro mia mia, juice ya miwa kwa glass

Woiiiiiiiiih. Kumekuchaaaaah
Uduguu Uku mm niliko kuna vijiwe vyao pendwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huu mwezi wa mavuno ndo shughuli zao zinaanza sasa

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Uduguu nilimkamtia mmoja mwaka mpya akanipe show anafanana na Zuwena wa Diamond vile vile na yy kaweka breach [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu yaan achaa, uswazii ni full burudaniiiiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naendaga uswazii siku moja moja, mambo ya miguu ya kuku iliyovirigwa na utumbo chips kavu za jero, maji ya kandoro mia mia, juice ya miwa kwa glass

Woiiiiiiiiih. Kumekuchaaaaah

Mie tattoo zao piko tu nafwaa kwa kucheka [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu maishaa ya uswaziii pambeee, mie nayapendaaa balaaaa, yaan hakuna kushanganaa ni km mambeleee vileeeee.

Siku twende tukawaonyeshee vagi letu uduguu na vijora vyetu ndani chukuchuku [emoji2222][emoji2222]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…