YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Sio shida zetuuuu uduguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uduguu kama nakuona uduguu uliliavaraga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unanichekeshaaa, niliendaga uswazii buza kwa mama kibongee, kulikua na 40 ya kumtoa mtoto mchanga nje.
Sasa niliye enda nae ananambia wee unajifanya umevurugwa twende ukawaonee waliochanganyikiwa huku, nkamuambia hunijui vizuri wee, hayo mambo ndo nayoyapenda mie, mbna hutaamini kabisa.
Sasa tukafika pale bhana kukuta wadada wamevurugwa balaa, vijora vya chui chui,ndo saree, nkasema wee siwezi vumilia nkamuambia niliyeenda nae hebu niazimie kijora kwan.nkapewa nkazama kati ikapigwa ngoma ya miss buzza ile ya rayvan, timbwili nloonesha hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mate haamini had leo, ananambia wee km ungeishi uswazi ungeharibika mapema mnooo, yaan sio kuvurugwaa wee umetawanyishwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umetawanyishwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unanichekeshaaa, niliendaga uswazii buza kwa mama kibongee, kulikua na 40 ya kumtoa mtoto mchanga nje.
Sasa niliye enda nae ananambia wee unajifanya umevurugwa twende ukawaonee waliochanganyikiwa huku, nkamuambia hunijui vizuri wee, hayo mambo ndo nayoyapenda mie, mbna hutaamini kabisa.
Sasa tukafika pale bhana kukuta wadada wamevurugwa balaa, vijora vya chui chui,ndo saree, nkasema wee siwezi vumilia nkamuambia niliyeenda nae hebu niazimie kijora kwan.nkapewa nkazama kati ikapigwa ngoma ya miss buzza ile ya rayvan, timbwili nloonesha hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mate haamini had leo, ananambia wee km ungeishi uswazi ungeharibika mapema mnooo, yaan sio kuvurugwaa wee umetawanyishwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaaah kijana Yuko vizuri afu comftable kabisaVenye siku ya kuweka agreement apewe kiti cha mbele[emoji16]
Ila ukitoka operation usipojamba hiyo case nyingine..so wacha kijana aongeza maisha ya kuishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo najisahau sana, sijui hata nifanyajee.Mimi huku nilipo kuna watu wananishangaa najisahu nawaita udugu hawaelewi [emoji1787][emoji1787][emoji2222]
Bhana hawa jamaa Wana mabalaa saivi siku nilimtokea mmoja bhana nilikua na upwiru wangu [emoji1787][emoji1787] uduguu ntakusimulia siku nyingine ucheke ufeMabwana zao waimba singeli chini wamevaa vikuku vya elfu 2, wamebandika kope ndefu halafu zimejaa vumbi hawana habari, wanakwambia sio shida zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetawanyishwa?
unapenda kutawanyika sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naendaga uswazii siku moja moja, mambo ya miguu ya kuku iliyovirigwa na utumbo chips kavu za jero, maji ya kandoro mia mia, juice ya miwa kwa glassUduguu kama nakuona uduguu uliliavaraga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weekend ntaenda kijiwe kimoja wanakuwepo ntakutumia voice note usikie uduguu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Uduguu nilimkamtia mmoja mwaka mpya akanipe show anafanana na Zuwena wa Diamond vile vile na yy kaweka breach [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo najisahau sana, sijui hata nifanyajee.
Woiiiiiih
Sio shida zao kabisaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabwana zao waimba singeli chini wamevaa vikuku vya elfu 2, wamebandika kope ndefu halafu zimejaa vumbi hawana habari, wanakwambia sio shida zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unanichekeshaaa, niliendaga uswazii buza kwa mama kibongee, kulikua na 40 ya kumtoa mtoto mchanga nje.
Sasa niliye enda nae ananambia wee unajifanya umevurugwa twende ukawaonee waliochanganyikiwa huku, nkamuambia hunijui vizuri wee, hayo mambo ndo nayoyapenda mie, mbna hutaamini kabisa.
Sasa tukafika pale bhana kukuta wadada wamevurugwa balaa, vijora vya chui chui,ndo saree, nkasema wee siwezi vumilia nkamuambia niliyeenda nae hebu niazimie kijora kwan.nkapewa nkazama kati ikapigwa ngoma ya miss buzza ile ya rayvan, timbwili nloonesha hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mate haamini had leo, ananambia wee km ungeishi uswazi ungeharibika mapema mnooo, yaan sio kuvurugwaa wee umetawanyishwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bhana hawa jamaa Wana mabalaa saivi siku nilimtokea mmoja bhana nilikua na upwiru wangu [emoji1787][emoji1787] uduguu ntakusimulia siku nyingine ucheke ufe
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu maishaa ya uswaziii pambeee, mie nayapendaaa balaaaa, yaan hakuna kushanganaa ni km mambeleee vileeeee.Mimi napendaga wewe mambo hayo niende nikacheke wanavyotingisha tako mojamoja halafu yanapishana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wimbo huo unamtaja dj maarufu wa kupiga singeli bas wanavyoimba dj Titho, wee Titho waonyeshe aiseee! Ikifika hapo ni mvurugano
Yaani na miss kweli nikirudi lazima niwatafute udugu sasa usiombe uende wanakofunda mwali utacheka ufe [emoji1787][emoji1787]
Nataka nitumie zile style kwa baba watoto Kantri nione km nitatoboa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Uduguu Uku mm niliko kuna vijiwe vyao pendwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huu mwezi wa mavuno ndo shughuli zao zinaanza sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naendaga uswazii siku moja moja, mambo ya miguu ya kuku iliyovirigwa na utumbo chips kavu za jero, maji ya kandoro mia mia, juice ya miwa kwa glass
Woiiiiiiiiih. Kumekuchaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu yaan achaa, uswazii ni full burudaniiiiiii.Uduguu nilimkamtia mmoja mwaka mpya akanipe show anafanana na Zuwena wa Diamond vile vile na yy kaweka breach [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naendaga uswazii siku moja moja, mambo ya miguu ya kuku iliyovirigwa na utumbo chips kavu za jero, maji ya kandoro mia mia, juice ya miwa kwa glass
Woiiiiiiiiih. Kumekuchaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie uswazii napapendaaa balaaa, yaan maisha ya kulee yananifaa mnoo.Uduguu Uku mm niliko kuna vijiwe vyao pendwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huu mwezi wa mavuno ndo shughuli zao zinaanza sasa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hapana uduguu wangu sina mood leo haaaaaaah nimejambiwa tayari na huyu dogo [emoji1787][emoji1787]Wewe nihadithie leo uduguu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu maishaa ya uswaziii pambeee, mie nayapendaaa balaaaa, yaan hakuna kushanganaa ni km mambeleee vileeeee.