Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.

Mshikaji anajamba usiku kucha alafu lenyewe wala hata alijui linajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae, kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikela kishenzi.
Madhara yake utayaona baada ya miaka 100
 
Back
Top Bottom