Ni maeneno Gani mengine ya kiingereza wanayopenda kuyatumia watu Ukiacha 'Maybe na sorry'

Kuna mshirikk Miss Tanzainia kipindi anahojiwa alijinadi "..kwanza nina confidence, pili najiamini..."
 
My best English word is "Assume/Imagine", Nikianza na hilo neno huwa sikosei!
 
I see ( Watu wa Arusha wakatohoa ikawa " Aisee")

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunamadogo wamepita wanatukanana mmoja kamtukana mwenzie et "Bombardier"...as nashangaa dogo kaanza kulia. I hope "bombardier" ni neno maarufu TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…