Ni maeneno Gani mengine ya kiingereza wanayopenda kuyatumia watu Ukiacha 'Maybe na sorry'

Ni maeneno Gani mengine ya kiingereza wanayopenda kuyatumia watu Ukiacha 'Maybe na sorry'

Kuna mshirikk Miss Tanzainia kipindi anahojiwa alijinadi "..kwanza nina confidence, pili najiamini..."
 
My best English word is "Assume/Imagine", Nikianza na hilo neno huwa sikosei!
 
Wakuuu Habari za leo i hope mko poa baada ya Salam najielekeza kweny mada

Eti ni maneno gani mengine ya kiingereza ambayo watu wanapenda kuyatumia sana ktk maongezi yao mbalimbali iwe Ofisini au kijiweni au popote ukiacha hata "Maybe,sorry na my" karibuni mtiririke labda kuna watu watapata maneno mapya kutoka kwenu hapa.

(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#
I see ( Watu wa Arusha wakatohoa ikawa " Aisee")

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunamadogo wamepita wanatukanana mmoja kamtukana mwenzie et "Bombardier"...as nashangaa dogo kaanza kulia. I hope "bombardier" ni neno maarufu TZ
 
Back
Top Bottom