Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hahahahha ndioo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha ndioo
Kuna raia husema "if kama" sijui huwa wana maanisha nini hasa,..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah, Nice, You know, obviously, like, imagine, Kubwa zaidi 'I love you'[emoji23]
Kweli....Ila Nani Huyo Kwenye Avatar Yako?Kuna raia husema "if kama" sijui huwa wana maanisha nini hasa,..
I see ( Watu wa Arusha wakatohoa ikawa " Aisee")Wakuuu Habari za leo i hope mko poa baada ya Salam najielekeza kweny mada
Eti ni maneno gani mengine ya kiingereza ambayo watu wanapenda kuyatumia sana ktk maongezi yao mbalimbali iwe Ofisini au kijiweni au popote ukiacha hata "Maybe,sorry na my" karibuni mtiririke labda kuna watu watapata maneno mapya kutoka kwenu hapa.
(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#
Ni rafiki tuu😊😊
HahaaKuna mshirikk Miss Tanzainia kipindi anahojiwa alijinadi "..kwanza nina confidence, pili najiamini..."