Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Naona unataka kujua kundi la MOSHI na ARAA ili iwe rahisi kwako kuwadaka ili uzawadiwe U DED.
 
Naona unataka kujua kundi la MOSHI na ARAA ili iwe rahisi kwako kuwadaka ili uzawadiwe U DED.
Nikipewa u ded ni Sawa tu nina uzoefu najua ma ded wanavyofanya kazi zao wakishirikiana na madiwani, mwenyekiti wa halmashauri akikosa gari akaomba lift kwenye gari la mkurugenzi mkurugenzi atashuka na kuhamia nyuma, huyo mwenyekiti au mmeya ndyo mwenyekiti wa baraza la madiwani, ila nikizawadiwa sitaingia mitini kama wale 13, mziki wa madiwani si mchezo wawe wa chadema au wa ccm, wakurugenzi wengine wanaishiaga kukimbia au kurudishwa tamisemi ila mimi nitauweza
 
Lazima useme wewe ni mtu wa namna gani na unapendelea nini. Je ni mzee wa totoz? Totoz pori? Maji ya Ilala? Una lengo la kujifunza tamaduni za wenyeji?
 
[emoji23] [emoji39] mbuzi choma
kitimoto rost
mbege
 
Kapande Mlima Kilimanjaro na tembelea Mbuga ya wanyama
 
Back
Top Bottom