Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hakuna kingineUtasikia kuzaa na kukaa na watoto
Kwani hayo sio mafanikio?Utasikia kuzaa na kukaa na watoto
Wakuu
Kumekuwa methali maarufu inayosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake.
Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.
Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Hata wewe๐๐hakuna mafanikio unayoweza kuyapata kupitia mwanamke zaidi ya kupunguza life span.
Nyie ndo mnachapiwaga na bodaboda kimya kimya ukija kustuka watoto wote sio wako, mnajiuaHata wewe๐๐
Nasoma comment mpaka saa sita na dakika 48. Kataa ndoa wanaongoza chuma 5 kwa BILA.
Binafsi kwenye ndoa yangu naona mengi mazuri mazuri binafsi Mimi nilipata mke sio mwanamke.
Anniversary nyingi nyingi KWETU.
O IQ atakuambia kuchakata mbususu,Mushambwa atakuambia anaupigamwingi mtu wao,Stunex atakuambia ni kuuwawa kwa watanganyika kwa kudai haki zao,chawa watakuambia ni kuwafunga na kuwateka chadema watetezi wa mtanzania na tanganyika.Waweza toa mapovu ya nyoongeza nipo tayari!Wakuu
Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?
Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.
Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Salamaleko salamaleko ๐ ๐Nyie ndo mnafapiwaga na bodaboda kimya kimya
Kuona nini