Aya mbili za kwanza umeongelea intangible values. Sisi tunataka tangiable values kwamba hata mkiachana leo kuna hasara mwanamke atakua kaingia, kuna sehemu amekusogeza kimaisha au kuna nguzo ya maisha yako itaanguka.Ndugu yangu, mwanamke wife material hujidhihirisha hata wakati wa uchumba. Utaona ushauri wake katika matumizi ya hela hata kama yeye hana Pesa. Utaona matumizi yake yakoje? Matamanio, maamuzi etc.
Wife material atakupambania, mfano unataka Kwenda kwao Kutoa mahari, yeye atahangaika na kujua ni Kiasi gani kinatakiwa, na njia ya kukipunguza ili hata kama una hela, zifanye mengine. Lakini kuna wale ambao wanataka kuonesha kwao kuwa Mchumba wangu anazo.
Nirudi katika swali lako la msingi, inategemea bibie ana ukwasi kiasi gani ili afanye uliyoyaorodhesha. Na pia inategemea na wewe ni Mario au mwanamume wa shoka kiasi gani. Kumbuka wanawake si risk taker na ni projector wazuri. Wana invest pale penye faida tu.
Duh bado hujajibu swaliNdugu yangu, mwanamke wife material hujidhihirisha hata wakati wa uchumba. Utaona ushauri wake katika matumizi ya hela hata kama yeye hana Pesa. Utaona matumizi yake yakoje? Matamanio, maamuzi etc.
Wife material atakupambania, mfano unataka Kwenda kwao Kutoa mahari, yeye atahangaika na kujua ni Kiasi gani kinatakiwa, na njia ya kukipunguza ili hata kama una hela, zifanye mengine. Lakini kuna wale ambao wanataka kuonesha kwao kuwa Mchumba wangu anazo.
Nirudi katika swali lako la msingi, inategemea bibie ana ukwasi kiasi gani ili afanye uliyoyaorodhesha. Na pia inategemea na wewe ni Mario au mwanamume wa shoka kiasi gani. Kumbuka wanawake si risk taker na ni projector wazuri. Wana invest pale penye faida tu.
Malizia iwapo haoni mwanaume in future kama atakuwa na value added kwa huyo mwanamke.Aya mbili za kwanza umeongelea intangible values. Sisi tunataka tangiable values kwamba hata mkiachana leo kuna hasara mwanamke atakua kaingia, kuna sehemu amekusogeza kimaisha au kuna nguzo ya maisha yako itaanguka.
Aya ya mwisho inawezakana lakini ni very rare. Hii ni kwa sababu ya hypergamy nature ya mwanamke. Ni ngumu sana sana sana sana kwa mwanamke kukubali ku-settle na mwanaume wa daraja la chini zaidi yake
wenye ndoa nzuri hawashindi humu, humu kwa wenye stressHata wewe😊😊
Nasoma comment mpaka saa sita na dakika 48. Kataa ndoa wanaongoza chuma 5 kwa BILA.
Binafsi kwenye ndoa yangu naona mengi mazuri mazuri binafsi Mimi nilipata mke sio mwanamke.
Anniversary nyingi nyingi KWETU.
Mwanzo wa kujuana ID sasa! Acha tuDuh bado hujajibu swali
Kamwambie mama Yako mzazi (kimbulu wewe)wenye ndoa nzuri hawashindi humu, humu kwa wenye stress
ahaaa ahaaaa mbona unajikuna kwa nguvu hivyo? washwa pole pole basiKamwambie mama Yako mzazi (kimbulu wewe)
Tupo level tofauti.ahaaa ahaaaa mbona unajikuna kwa nguvu hivyo? washwa pole pole basi
😹😹😹 Ila haszu kwahiyo unanifunda kungwi?👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 utazeeka nyumbani, punguza ukali. kwa sura na shape ipi ya kuringa nayo bibi wewe?
Wewe mi naishi kituristi tafuta gademitt wenzio..!!Tulielezwa ni kuishi nao kwa akili. Ila kWa kawaida mwanamke huwa anajiona mzuri na kila wakati anadai. Huwa hawajui kuwa kitu kinachopendeza na kukimbiliwa kikiwa kimekomaa na kuiva ni tunda kama embe, Papai na si binadamu hususan mwanamke. Tumsamehe bure Lamomy kipenzi changu
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Mdogo mdogo tutafikaWewe mi naishi kituristi tafuta gademitt wenzio..!!
If you have nothing to offer, you are a bagger, and the bagger can not choose. shape na sura ndio currency of exchange upo?😹😹😹 Ila haszu kwahiyo unanifunda kungwi?
Shape kweli sina na sura pia sina ila nina misimamo. Najua ninachokitaka okay??
Nipe sura na shape yako nikafanyie exchange 😹If you have nothing to offer, you are a bagger, and the bagger can not choose. shape na sura ndio currency of exchange upo?