Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

Mimi nimenunua kiwanja na kujenga kupitia mke wangu, nilijifunza vitu vingi na mhimu sana kupitia mke wangu

Kanizalia watoto na ninaitwa baba sababu yake (kama ningeoa tasa nisingeitwa baba)

Kuna wakati alijaribu kunidharau na kupitia dharau hiyo nikapandisha morali ya kupambana na kutafuta pesa zaidi (ina maana dharau yake ilileta matokeo chanya kwenye Uchumi wangu)

Silazimiki kununua mwanamke au kulala na makahaba au kuwa na wanawake wengi sababu ninaye nyumbani wa kunimaliza nyege zangu

Faida ni nyingi sana siwezi kuandika zote
 
Hapa sijaona jipyaaa😄😄
 
Hongera mkuu
 
Hakuna. Kwenye kuishi na mwanamke, mwanamke ndio anafanikiwa.

Nje ya mada: Kuoa ni jadi ya hovyo sana tuliyorithi toka kwa mababu. Miongoni mwa jadi zilizopitwa na wakati basi ni pamoja na kuoa/kuoana. Kuoa ni mtego.
 
Ulinuñuaje kiwanja kupitia mkeo? Unajifunza kama kitu gani kwa mkeo? Wewe ni mwanaume lakini?
 
Amani ya moyo na utulivu wa akili unaonipa ENERGY ya kuyakabili majukumu yangu kwa ari mpya,nguvu mpya na Kasi mpya!
Ya Mungu mengi🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…