Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Hakuna atakae jibu hiliFaida wanazotaja either ni mutually au mambo ambayo wangeweza kufanya wao binafsi bila uwepo wa mwanamke. Suala la kununua kiwanja na kujenga hauhitaji kuamasishwa na mwanamke
Suala la sex na watoto ni mutually. Mwanaume pia anatoa mbegu na anafadhiri kifedha safari yote ya ujauzito mpaka kujifungua, pia watoto ni wa wote. Suala la sex pia ni starehe ya wote
Mpaka dakika hii sijaona hata mmoja alietaja kitu ambacho mwanamke alikifanya single handled kikabadilisha maisha yake mfano wanaume wanavyosomesha wanawake, kuwafungulia biashara, kuwapa mtaji, kuwatoa kwenye dhiki n.k
Boss, i have Nothing to report. Ningejua nisingeoa.Wakuu
Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?
Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.
Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Unatutisha mkuuBoss, i have Nothing to report. Ningejua nisingeoa.
Ni mafanikio makubwa hususan mwanaume kuwa na utulivu katika kutafuta maana familia ipo salama. Hivyo nguvu zako zote unaziweka katika upambanaji.Kwani hayo sio mafanikio?
Ukitaka tukueleze Ukweli, hutaamini. Kuna wanawake wa aina mbili. Moja ni mjenzi wa familia; wa pili ni kifaa cha starehe cha mwanaume. Wengi hapa mnazungumzia mwanamke wa pili. Hakuna mwanamke anayeweza kucombine vyote. Akiwa na kimoja kingine anakosa.Faida wanazotaja either ni mutually au mambo ambayo wangeweza kufanya wao binafsi bila uwepo wa mwanamke. Suala la kununua kiwanja na kujenga hauhitaji kuamasishwa na mwanamke
Suala la sex na watoto ni mutually. Mwanaume pia anatoa mbegu na anafadhiri kifedha safari yote ya ujauzito mpaka kujifungua, pia watoto ni wa wote. Suala la sex pia ni starehe ya wote
Mpaka dakika hii sijaona hata mmoja alietaja kitu ambacho mwanamke alikifanya single handled kikabadilisha maisha yake mfano wanaume wanavyosomesha wanawake, kuwafungulia biashara, kuwapa mtaji, kuwatoa kwenye dhiki n.k
ππππππNyie ndo mnachapiwaga na bodaboda kimya kimya ukija kustuka watoto wote sio wako, mnajiua
π€£Mim wamenipa hali ya kujituma zaidi ili niwatafune vzur
Ule msemo wa watoto wazur ukiwa huna hela utaishia waita mashemeji,ndo ulinifanya nipambane zaidi
Thread ndio inataka mtuambie hizo tangiable contributions za wake zenu. Achana na maelezo mengi wewe kuwa straight. Sema mke wangu alinilipia ada ya chuo, alinipa mtaji wa biashara, alijitolea kufanya kazi bure wakati naanzisha kampuni yangu n. kUkitaka tukueleze Ukweli, hutaamini. Kuna wanawake wa aina mbili. Moja ni mjenzi wa familia; wa pili ni kifaa cha starehe cha mwanaume. Wengi hapa mnazungumzia mwanamke wa pili. Hakuna mwanamke anayeweza kucombine vyote. Akiwa na kimoja kingine anakosa.
Usipoelewa mwenzi wako (ishi nao kwa akili) ukajua faida yake kwako ni nini. Ndipo unavurugikiwa.
Sie tuliooa namba moja, mengi wametufanyia wake zetu kiuchumi na ni watafuta senti haswa. Ile ya starehe tunaipata kwa akina Lamomy
UlikuepoAdam alisalitiwa na Eve bustanini walikua wawili tu Dunia nzima, kwenye hii dunia yenye watu 8bilion unajiaminisha kwa mwanamke? Na pengne hakuna bikra yoyote ulomtoa weweππ
Matraco yako na ukome kuniingiza kwenye comments zako zisizo na afya..!!Ukitaka tukueleze Ukweli, hutaamini. Kuna wanawake wa aina mbili. Moja ni mjenzi wa familia; wa pili ni kifaa cha starehe cha mwanaume. Wengi hapa mnazungumzia mwanamke wa pili. Hakuna mwanamke anayeweza kucombine vyote. Akiwa na kimoja kingine anakosa.
Usipoelewa mwenzi wako (ishi nao kwa akili) ukajua faida yake kwako ni nini. Ndipo unavurugikiwa.
Sie tuliooa namba moja, mengi wametufanyia wake zetu kiuchumi na ni watafuta senti haswa. Ile ya starehe tunaipata kwa akina Lamomy
Yamekuwa hayo tena!Matraco yako na ukome kuniingiza kwenye comments zako zisizo na afya..!!
ππΌππΌππΌππΌ utazeeka nyumbani, punguza ukali. kwa sura na shape ipi ya kuringa nayo bibi wewe?Matraco yako na ukome kuniingiza kwenye comments zako zisizo na afya..!!
Tulielezwa ni kuishi nao kwa akili. Ila kWa kawaida mwanamke huwa anajiona mzuri na kila wakati anadai. Huwa hawajui kuwa kitu kinachopendeza na kukimbiliwa kikiwa kimekomaa na kuiva ni tunda kama embe, Papai na si binadamu hususan mwanamke. Tumsamehe bure Lamomy kipenzi changuππΌππΌππΌππΌ utazeeka nyumbani, punguza ukali. kwa sura na shape ipi ya kuringa nayo bibi wewe?
Hilo swali kamuulize mama yakoWakuu
Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?
Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.
Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Ndugu yangu, mwanamke wife material hujidhihirisha hata wakati wa uchumba. Utaona ushauri wake katika matumizi ya hela hata kama yeye hana Pesa. Utaona matumizi yake yakoje? Matamanio, maamuzi etc.Thread ndio inataka mtuambie hizo tangiable contributions za wake zenu. Achana na maelezo mengi wewe kuwa straight. Sema mke wangu alinilipia ada ya chuo, alinipa mtaji wa biashara, alijitolea kufanya kazi bure wakati naanzisha kampuni yangu n. k