Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

Mafanikio yote niliyo nayo nimeyapata kupitia mama yangu mzazi , dada zangu na mama wa mtoto wangu kipindi hicho nipo nae nilifanikiwa mno kupitia yeye.

Kiufupi tu 98 % ya mafanikio yangu yametoka na yanazidi kutoka kwa wanawake.
 
Aya mbili za kwanza umeongelea intangible values. Sisi tunataka tangiable values kwamba hata mkiachana leo kuna hasara mwanamke atakua kaingia, kuna sehemu amekusogeza kimaisha au kuna nguzo ya maisha yako itaanguka.

Aya ya mwisho inawezakana lakini ni very rare. Hii ni kwa sababu ya hypergamy nature ya mwanamke. Ni ngumu sana sana sana sana kwa mwanamke kukubali ku-settle na mwanaume wa daraja la chini zaidi yake
 
Duh bado hujajibu swali
 
Malizia iwapo haoni mwanaume in future kama atakuwa na value added kwa huyo mwanamke.
 
Hata wewe๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Nasoma comment mpaka saa sita na dakika 48. Kataa ndoa wanaongoza chuma 5 kwa BILA.

Binafsi kwenye ndoa yangu naona mengi mazuri mazuri binafsi Mimi nilipata mke sio mwanamke.

Anniversary nyingi nyingi KWETU.
wenye ndoa nzuri hawashindi humu, humu kwa wenye stress
 
Natafuta Ajira naona unanisukuma sana ila naogopa kutoa mifano yangu maana ndiyo mwanzo wa kujulikana na kubadili account. Tuache tu, kama asingekuwa yeye, nisingejenga ghorofa kwa wazazi wangu kijijini kwetu Ngende huko Kusini ambayo ndiyo pekee katika kata nzima na tuliichangia nusu kwa nusu kwa vile lilikuwa ni wazo lake, wakati uchaggani kwao mpaka leo wazazi wake wapo katika nyumba ya kawaida. Ni vingi tu.
 
Ukiona mwanamke hana faida
Oa mwanaume mwenzio
Khaa we are tired with this discussions๐Ÿ˜ฌ
 
๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ utazeeka nyumbani, punguza ukali. kwa sura na shape ipi ya kuringa nayo bibi wewe?
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ila haszu kwahiyo unanifunda kungwi?

Shape kweli sina na sura pia sina ila nina misimamo. Najua ninachokitaka okay??
 
Wewe mi naishi kituristi tafuta gademitt wenzio..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ila haszu kwahiyo unanifunda kungwi?

Shape kweli sina na sura pia sina ila nina misimamo. Najua ninachokitaka okay??
If you have nothing to offer, you are a bagger, and the bagger can not choose. shape na sura ndio currency of exchange upo?
 
If you have nothing to offer, you are a bagger, and the bagger can not choose. shape na sura ndio currency of exchange upo?
Nipe sura na shape yako nikafanyie exchange ๐Ÿ˜น

Huu mwaka nimeingia na mguu wa kushoto yani beautiful boy ananifunda??
Nimelia Sanaโ€™a ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ