Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

doomedcity

Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
66
Reaction score
144
Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa
Moja kwa moja kwenye mada hapo juu

Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu?

Naomba kuwasilisha wakuu
 
Mpaka umefukuzwa kazi serikalini,hakika utakua ulikua kimeo
 
Kama umefukuzwa sirikalini baaaasi we hufai pata unayohitaji!!
Mpk sirikali ukufukuze utakuwa umevumilika muda sana
 
Back
Top Bottom