Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Leejay49

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
19,749
Reaction score
62,766
Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,

Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.

Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo

Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.

Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.

Nb: Bei isizidi 50k😩
 
View attachment 3337221

Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.

View attachment 3337222
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.

Nb: Bei isizidi 50k😩
Tumia ya ndege tu mkuu zipae haraka..
 
Mafuta ni haya MPL na Hair food ya mgando au Avocado ya Hair food haya ni mafuta mazuri hautasikia matatizo ya ngozi kichwani na nywere zinakua na afya pia kwa Daslm yanapatikana saba saba hapo Kariakoo hata maduka ya SH Amoni anayo pia..
20250517_161636.jpg
 
Mafuta ni haya MPL na Hair food ya mgando au Avocado ya Hair food haya ni mafuta mazuri hautasikia matatizo ya ngozi kichwani na nywere zinakua na afya pia kwa Daslm yanapatikana saba saba hapo Kariakoo hata maduka ya SH Amoni anayo pia..View attachment 3337226
Asante mkuu,. Barikiwa sana🙏🙏
 
Back
Top Bottom