Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Sikuona tag kipenzi
Leejay49 mm nliwah tengeneza mwenyew yalinisaidia ila kila anaekuja anaomba km unamuda tengeneza haifiki iyo 50k

Kuna mdada pia anauza naona bidhaa anazotumia kutengeneza yatakuwa mazuri ila sijawah tumia
Nimeanza na ya mnyonyo,.
nifundishe kwanza nipe hizo ingredients
 
Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,

Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.

Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo
View attachment 3337221

Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.

View attachment 3337222
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.

Nb: Bei isizidi 50k😩
Aisee kumbe una nywele nzuri hivi mkuu...
Usitumie pesa nyingi kununua mafuta,just 5k nayo ni kubwa 💯

Sio mbaya acha nisubiri fungu Langu 😅
 
chuma hichoo, inajaza nywele, inang'risha halafu nywele inakuwa nyeusi tii
download (2).jpeg
 
Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,

Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.

Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo

Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.

Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.

Nb: Bei isizidi 50k😩
Tumia yale ya mboso khan "Mshike huyo, hatoki mtu"
 
Wild growth hair oil35000💥💥
 
Back
Top Bottom