MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Ahsante, mie nywele zangu zawahi kurefuka.Hongera,. Mie nikinyoa mpaka nywele nianze kubana basi ujue nihangaike nazo mwaka mzima
Ahsante, mie nywele zangu zawahi kurefuka.Hongera,. Mie nikinyoa mpaka nywele nianze kubana basi ujue nihangaike nazo mwaka mzima
Weeeeeeh,Ahsante, mie nywele zangu zawahi kurefuka.
Asante sanaKunae mtu humu aliwahi kusema anauza mafuta ya kuotesha upara,. Sina hakika kama ni yeye lakini Jane Msowoya
15000 na kuendeleaThanks maam,. Huwa unatauza bei geni???. Unafanya delivery kwa wambali?
Kuna mafuta anatengeneza mdada mmoja hivi yanaitwa batey castor oil aisee ni moto. Kwanza anatumia yeye mwenyewe na wafanyakazi wenzake pia.Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,
Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.
Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo
View attachment 3337221
Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.
View attachment 3337222
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.
Nb: Bei isizidi 50k😩
ahsante sana mkuu.Kunae mtu humu aliwahi kusema anauza mafuta ya kuotesha upara,. Sina hakika kama ni yeye lakini Jane Msowoya
Yanapatikana maeneo gani?
Hata wanaume weny upara yanafaa?
kabisa nimeona matokeo kwa binti yanguHata wanaume weny upara yanafaa?
duuh kumbe bint tena nikajua kwa mwanaume wa upara.kabisa nimeona matokeo kwa binti yangu
M natumia Mega growthMahondaw Hornet Nifah Madame B Lamomy ephen_ Joanah Joannah Depal Carleen Darlin Palina Ms eyes Binti Sayunii kadogo2 Mshangazi Mshangazi dot com mama D Donatila Makiwendo cocastic
nakwede97 Aaliyyah Mallerina Atoto Demi Dr. Mariposa Ms cee Ms kb Nusratt realMamy Msweet Chujio cocochanel Anastasia21 Midekoo Mideko Shunie Numbisa Kelsea ledada leo dada SweetyCandy