min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mno kuna siku nikaota ,mawardat ni mod wa jf 😆😆Mie nipo ,nilikuwa nachungulia tu nakupita,
U mzima??
Mno kuna siku nikaota ,mawardat ni mod wa jf 😆😆Mie nipo ,nilikuwa nachungulia tu nakupita,
U mzima??
Utakuaje mtu mwenye akili nyingi kama hauvuti bangi na kufanya meditation sasa?Sivuti hiyo mie natumia shisha na bia
Sifanyi ushirikina mimiUtakuaje mtu mwenye akili nyingi kama hauvuti bangi na kufanya meditation sasa?
Umejuaje ni ushirikina na hauja wahi kufanya?Sifanyi ushirikina mimi
Ya brakeNi natural kabisa, ngoja nikuoneshe mfano yanavyokuwa halafu siyo gharama kabisa
😀😀😀,unataka kusema nilikupiga ban?Mno kuna siku nikaota ,mawardat ni mod wa jf 😆😆
😂😂😃😃 Unakunywa pombe mkuuUmejuaje ni ushirikina na hauja wahi kufanya?
Yah , kuna siku ulinitia ban🤣🤣🤣 ,ila mimi nilikua najiuliza umeenda wapi inawezekana kuliko yeyoto😅😅😀😀😀,unataka kusema nilikupiga ban?
Ndio nakula pombe bwashee ,kwani kipi ni kiarabu hapo? Bwashee 🤓😂😂😃😃 Unakunywa pombe mkuu
Mhmmm kwa mimi wewe ndio mdada mrembo kuliko wote humu . Sipendi kupindua ila mchaga mimi nishawahi kushindwa kipi🤔Usinambie nami bado nimonimo nahuu uzee 🤔🤔?? Kweli kabisa komaa na zimwi lako E tu mie nishaacha hayo mambo!😁
Sijaelewa MkuuYa brake
Hongera,. Mie nikinyoa mpaka nywele nianze kubana basi ujue nihangaike nazo mwaka mzimaIlikuwa 2018 nikanyoa na kuanza kusuka mwaka huohuo,
Nimekuja kunyoa mwezi huu,napumzika kusuka,
Namshukuru Mungu kwenye nywele kanijaalia,siteseki nazo kwenye ukuaji.
Njoo kigamboni hapa tupate safari bia mkuu kisha tuone mnavyopigwa huko MoroccoNdio nakula pombe bwashee ,kwani kipi ni kiarabu hapo? Bwashee 🤓
😃😃Bange hizoMhmmm kwa mimi wewe ndio mdada mrembo kuliko wote humu . Sipendi kupindua ila mchaga mimi nishawahi kushindwa kipi🤔
Itakuwa Pombe imeanza kukukolea hakiii since when kijeba kikawa kirembo wee min naweee warembo wapo sio maho aseeMhmmm kwa mimi wewe ndio mdada mrembo kuliko wote humu . Sipendi kupindua ila mchaga mimi nishawahi kushindwa kipi🤔
Oukay,. Haya ndio haya original wanayoyazungumzia??,. Unapatikana wapi??Njoo nkuuzie mafuta ya brown castor oil yenye vitamin's ndani ya mwezi usipopata matokeo unarudishiwa hela yako tunauza kwa 17k tu
0659756647 calls/whatsapp
Nimeyasahau kidogo nimemkumbuka jina tu dadaOukay,. Yanafananaje??