mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 3,260
- 5,778
Hongera, mwanamke mwenye muonekano natural hasa Yule ambae ana uwezo ila Yuko natural huwa namuona Yuko smart Sana kichwaniSijawahi kujaribu,. Hakuna kitu naogopa kama chunusi😃😃
Hongera, mwanamke mwenye muonekano natural hasa Yule ambae ana uwezo ila Yuko natural huwa namuona Yuko smart Sana kichwaniSijawahi kujaribu,. Hakuna kitu naogopa kama chunusi😃😃
Kama yale nmekuonesha ni 10k kwa 5kNadhani haya ndio the best naona kila mtu anasema,.
Vipi bei yake hufika ngapi.??
Nadhani haya ndio the best naona kila mtu anasema,.
Vipi bei yake hufika ngapi.??
Kwanini upakae Vaseline for men wakati kuna yale ambayo ni 100% pure petroleum jelly?.Haha,. Mikono na ngozi yangu ni milaini tu naturally haijawahi kuwa ngumu since i was born 😃😄😄..
Kuna watu nikisalimiana nao lazima waulize lee unapaka mafuta gani nikiwaambia Vaseline for Men wanahisi nawadanganya
Sure ,ila SA pagumu na pesa inabana masterGari itakua land cruiser,nimepiga accounts hapa na kazi nilikua na Debeers marines kwa muda mrefu baada ya kuachana na accounts nikagusa mechanics kwa mbali kama kumsaidia Fundi Eng room ila baadae ndio nikawa mwalimu mwenyewe Eng room.
Haya ni mazuri kila mtu anasema,. Nitaanza nayo
Hayo nilianza since niko shule,. Wengi walikua wanapaka hayo ya kawaida so mama angu akaamua aniwekee utofauti ili wasiniibie,. Nimejikuta tu nayapenda hadi utuuzimaniKwanini upakae Vaseline for men wakati kuna yale ambayo ni 100% pure petroleum jelly?.
Mkuu hina si inakua na rangi rangi?,. Haitafanania kama nimeweka bleach??
Madame kwa size yako hiyo ya nywele kwa kweli unapendeza sana.Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie