Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

yani upake tu mafuta nywele ziwe ndefu??

Nywele ni asili tu ya mtu kanunataka ziwe ndefu anza kusuka suka vitunguuu
Zikiwa ndogo sana hivi vitunguu vinauma,. Ila nitaaanza kuvisuka zikue kue tena walau kidogo nianze na knotless
 
Mie ndio nakwambia,. Ila kama huamini basi😃
Screenshot_20250517-175507~2.jpg

kweli mkono unashika jembe.
 
Aisee upo serious sana, sema si wengine tuna misitu kichwani mafuta ya kujaza nywele siwez kuyagusa kabisa
Hongera sana aisee,. Kati ya vitu vinanihangaishaga ni nywele,. Hiki kipilipili hakikuagi haraka yani
 
Naishi Arusha kila mwezi narudi nyumbani nikipakia narudi huko hata kama nikiwa huko hapa vijana wanafanya kazi unaweza kuniagiza kitu chochote unachokijua au unachokihitaji kama vidogo vidogo utalipia huko ukipokea..nilikua nabega handbags za jumla lakini ingawaje hata chache najua ntafata wapi nywere zile Og kabla kodi haijapanda almost vitu vyenu vingi..
Nimekutext pm mkuu Tuongee zaidi
 
Back
Top Bottom