Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Utakua mgumu kama sisi pakaa mafuta mazuri msizwa akishika mkono ajue kashika kitu tofauti..
Haha,. Mikono na ngozi yangu ni milaini tu naturally haijawahi kuwa ngumu since i was born 😃😄😄..
Kuna watu nikisalimiana nao lazima waulize lee unapaka mafuta gani nikiwaambia Vaseline for Men wanahisi nawadanganya
 
Yani vyote , kuna siku nilikua England nacheki gemu ya man u tulichati mno ,sijui kama unakumbuka buda
Gari itakua land cruiser,nimepiga accounts hapa na kazi nilikua na Debeers marines kwa muda mrefu baada ya kuachana na accounts nikagusa mechanics kwa mbali kama kumsaidia Fundi Eng room ila baadae ndio nikawa mwalimu mwenyewe Eng room.
 
Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,

Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.

Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo
View attachment 3337221

Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.


View attachment 3337222
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.

Nb: Bei isizidi 50k😩
 

Attachments

  • IMG_3662.jpeg
    IMG_3662.jpeg
    245.3 KB · Views: 20
Pole,kuna mafisadi walinishawishi kuwa ukiweka dawa na hivyo ulivyo na nywele nzuri,ukiweka dawa zitafika hadi mgongoni😁, nywele zangu ziriharibiks hadi nikanyoa,
Watu wanashawishi vibaya kweli yaani,. Waliniambia eti nitie dawa niset siku ya shughuli ya mtu . Shughuli imepita na nywele zangu pia zimepita😃😅😅
 
Back
Top Bottom