Ukihitaji nabeba kidogo unayohitaji au gari ikitoka napakia wanakushushia mkoa ulipo kama ni bara bara ya Tunduma to Daslm na Arusha mafuta yana vitu vingi sana vya kulipia kabla ya kodi na huku bei imeongezeka kwa jumla kutokana exchange rate yao na dollar nipo kwenye spea za magari na magari yenyewe..Saizi hauuzi tena??
Ooh,. Unakujaga mwezi gani labda nikuagize . Unabeba mafuta tu au na vitu vingine?Ukihitaji nabeba kidogo unayohitaji au gari ikitoka napakia wanakushushia mkoa ulipo kama ni bara bara ya Tunduma to Daslm na Arusha mafuta yana vitu vingi sana vya kulipia kabla ya kodi na huku bei imeongezeka kwa jumla kutokana exchange rate yao na dollar nipo kwenye spea za magari na magari yenyewe..
Hayana shida Kaburu anazingatia sana chakula,dawa na mafuta yawe bora na hizi dawa za meno na zipo tofauti jina hilo hilo unachagua inayokufaa..Ni nzuri??,. Vipi kwa ambao wana allergies za ngozi hayana shida?
Hapa una maanisha jembe au Jembe ?Mkono unashika hadi jembe we unauliza biskuti 😃😃
Si kweliMkono unashika hadi jembe we unauliza biskuti 😃😃
Aisee upo serious sana, sema si wengine tuna misitu kichwani mafuta ya kujaza nywele siwez kuyagusa kabisaUmejuaje kama nimeshaisave😃😆
Mikono yako mizuri na laini unaipaka nini mrembo?Ndyo mkuu,. Umefanyaje??😐😐
Naishi Arusha kila mwezi narudi nyumbani nikipakia narudi huko hata kama nikiwa huko hapa vijana wanafanya kazi unaweza kuniagiza kitu chochote unachokijua au unachokihitaji kama vidogo vidogo utalipia huko ukipokea..nilikua nabega handbags za jumla lakini ingawaje hata chache najua ntafata wapi nywere zile Og kabla kodi haijapanda almost vitu vyenu vingi..Ooh,. Unakujaga mwezi gani labda nikuagize . Unabeba mafuta tu au na vitu vingine?
Usiniambie 🤣🤣🤣hahaha we ushasema kwaniaba yangu Lamama,
Natural beauty hongera Sana maana wengine wanahangaika na mavipodozi mpaka utawaonea hurumaMkuu mie sijawahi kutumia lotion napaka mafuta ya mgando tu ,,,. Hayo ya nywele naona yatanifaa