Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Mafuta ya ngozi tumia Nivea intensive care ya Spain au Germany.
Unasoma walipoandika made in...
Kwa hiyo unaangalia ngozi yako kama ina mafuta mengi unachukua ilivyoandikwa hivyo kama ngozi ni dry unachukua ilivyoandikwa hivyo hivyo pia...
Hivi unajuaje kama ngozi ina mafuta au haina,. Maana mie hata sielewagi aisee
 
Hapa nlikua nawaza mara mbilimbili kama nachokifikiria ni kweli au ulikua unamaanisha mengine😃😄
Niliwaza kwakua nywele unapenda zijongee kwenda juu utumie mafuta yanayotumiwa na vyombo vinavyopaa kama ndege,jet, helkopta na vingine vinavyotumia turbine engine. Ila kama unataka zirefuke kwa kasi kwenda mbele tumia petrol ama kama kichwa chako ni heavy duty tumia diesel kwa mwendo wa kasi kwenda mbele.
 
Hivi unajuaje kama ngozi ina mafuta au haina,. Maana mie hata sielewagi aisee
Wengine hata asipopaka mafuta mwili unaonyesha kama kapakaa mafuta wengine hata akipakaa mwili hauonyeshi kama kama kapakaa kwa hiyo unasoma hapo kati kuchukua mafuta yako sema wewe tumia normal to dry skin hayo tunatumia wengi wenye ngozi hii..
 
Niliwaza kwakua nywele unapenda zijongee kwenda juu utumie mafuta yanayotumiwa na vyombo vinavyopaa kama ndege,jet, helkopta na vingine vinavyotumia turbine engine. Ila kama unataka zirefuke kwa kasi kwenda mbele tumia petrol ama kama kichwa chako ni heavy duty tumia diesel kwa mwendo wa kasi kwenda mbele.
Sawa sawa sawa
 
Hapa wana chupa hizi za blue pamoja na shower gel zake kwa sisi wavivu wa kutumia perfume tunatakiwa kutumia mafuta mazuri na shower nzuri ili kutokua na jasho la nguvu kwa Daslm wana chupa nyeupe wanauza Tsh 12,000 hayo Hair food 5,000 na Hair food kubwa ilikua 8000.
20250517_163444.jpg
 
Back
Top Bottom