Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Dada upo? Kitambo sana sijakuona jfItakuwa Pombe imeanza kukukolea hakiii since when kijeba kikawa kirembo wee min naweee warembo wapo sio maho
Hii sarcasm sijaipenda
Dada upo? Kitambo sana sijakuona jfItakuwa Pombe imeanza kukukolea hakiii since when kijeba kikawa kirembo wee min naweee warembo wapo sio maho
Hii sarcasm sijaipenda
Nipo nduguu itakuwa maisha yamenila kiboga labda.Dada upo? Kitambo sana sijakuona jf
Tupo tabataOukay,. Haya ndio haya original wanayoyazungumzia??,. Unapatikana wapi??
Tupo gudi na Yanga yetu dada yanguNipo nduguu itakuwa maisha yamenila kiboga labda.
🤳 Kunaendeleaje lakini?? Long time kitambo.
Lee wa J amenikumbusha selfika
That's good news!!Tupo gudi na Yanga yetu dada yangu
Maho nimelewa ndio ila mimi sio Fala ujuea Pombe imeanza kukukolea hakiii since when kijeba kikawa kirembo wee min naweee warembo wapo sio maho asee
Hii sarcasm sijaipenda
Nyie wajinga wajinga mnoTupo gudi na Yanga yetu dada yangu
Sisi ndio simba,toa ahadi shemu wangu hii game ya leo nashinda
Hapo pa ahadi Sasa🤔! !!Sisi ndio simba,toa ahadi shemu wangu hii game ya leo nashinda
Tuweke pesaHapo pa ahadi Sasa🤔! !!
Kweli Hamshindi
Toa mwongozo wa matuta mazuri ya kukuza nywele haraka kwanzaa!Tuweke pesa
Vitamin X!Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,
Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.
Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo
View attachment 3337221
Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.
View attachment 3337222
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.
Nb: Bei isizidi 50k😩
Naunga mkono hoja 😃
Mafuta ya brakeSijaelewa Mkuu
Yanafanyaje?Mafuta ya brake