Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Mwanamke unatakiwa ujue magari ya juu yote ni prado basi! [emoji28][emoji28][emoji28]
 
1. Mercedes Benz G class - SUV ya kibabe.

2. Nissan NAVARA- Pick Up.

3. Land Cruiser 70 hard top- kwa ajili ya safari za mkoa.

4. Yamaha bike yoyote kali kwa ajili ya mizunguko ya fasta mjini.

Na hapo ni kama Membe akichukua nchi, kwa sasa ni mwendo wa FOOTSUBISHI mpaka..
 
vipi Supra mwenye 2JZ GTE?
 
hivi kwanini watu wanazipenda hardtop?
 
1.BMW(kama alizokuwa anatembelea makonda)
2.coaster moja Kali(hii itakuwa n camping car kwa ajili ya hata)
3.pick up land cruiser mkonga(hii kwa ajil ya shughuli za ukulima)
4.Prado
 
1.Rolls Royce Ghost
2.American Muscle
3.Range Rover Vogue
4.BMW 7Series
 
Hili dude limeingia kwenye list yangu,Nimecheki jana trailer lake nikakubali Jamaa wako serious,lina features za kinyama sana
GMC HUMMER EV NI ELECTRIC TRUCK
KWA SISI WAPENDA MAZINGIRA, TUISHI HUMU KITU
NI KALI SANA INALIFANYA TESLACYBER TRUCK IONEKANE LA KAWAIDA
πŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€πŸ¦€


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…