Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Niliyoona jina akiri ikanipeleka huku bakweli, hizi zindio zile ziko kwenye movie moja inaaitwa SWAT... Humo SWAT wanavamiwa kuna Michael J White starring awo maadui wanakuja na gari hizi kama 50 nilizielewa zipo Cool sana.
Yeah hata mimi mara ya kwanza nimeziona kwenye movie.. USA wanapenda sana kuzitumia..maana hata kwenye power Ghost alikua nayo.

Kwenye movie kalibia zote FBI wanatumia hizi.
 
Porsche 911 gt2
Toyota supra
Nissan gtr34 v-spec
Nissan fairlady z ile first version....(wangan midnight)
 


ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…