Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello JF,
Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...
Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...
Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......