Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF,

Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...

Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...

Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......
 
Sina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.

Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.

Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.

Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.

Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.

K' Matata.
 
Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti.

Kumradhi, ulijuaje mtu ukikamatwa kwenye ndoto haurudi. Wafu wanastory.
 
1.sleep apnea
2.stroke ,rupture of brain aneurysm
3.hypoglycemia(kiwango cha sukari kushuka)
4.tatizo kwenye umeme wa moyo(ie tachyacradia,bradycardia,atria fibriliation)
5.damu kuganda na kuziba mishipa ya damu kwenye mapafu(pumonary embolism)
6.drug overdose before sleeping
 
1.sleep apnea
2.stroke ,rupture of brain aneurysm
3.hyoglycemia(kiwango cha sukari kushuka)
4.tatizo kwenye umeme wa moyo(ie tachyacradia,bradycardia,atria fibraliation)
5.damu kuganda na kuziba mishipa ya damu kwenye mapafu(pumonary embolism)
6.drug overdose before sleeping

Asante mkuu early warning signs?
 
Asante mkuu early warning signs?
kwa kuwa hutokea wakati umelala ,upo kwenye usingizi mzito hakuna cha warning sign,yaani unajikuta umeshakufa.
ila kwa hiyo rupture brain aneurysm inaweza tanguliwa na maumivu makali ya kichwani yanayoweza kukushtua toka kwenye usingizi ,lakini napo utakosa nguvu za kufanya chochote hivyo kufa. Hiyo kushuka kwa sukari mara nyingi utanguliwa na kutoka jasho jingi ,lakini kwa vile upo kwenye usingizi unawez usihisi chochote hivyo unajifia zako polepole kwenye usingizi
 
Sina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.

Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.

Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.

Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.

Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.

K' Matata.
@MrMiller Vs bbade
 
Kumbuka ni matukio yanayotokea ukiwa kwenye usingizi mzito

Nilikua namaanisha hakuna dalili kuwa una ugonjwa huu,hivyo nenda hospital ?kwa maana nyingine ugonjwa unatokea hapo hapo na kifo kinatokea hapo hapo? 😣🙄😇😇
 
Rebeca 83 kwani ukipima afya inazuia kifo, au nikukusaidia kufahamu ugonjwa?! Nafahamu unaweza kuwahi matibabu,lakini kifo hakikwepeki.
 
One of the best deaths ever, sema kama hauna dhambi, kama unazo ukifika kule jamaa wanakubadilikia

Hata mimi nilikua nafikiria hivyo hivyo,hasa has a ukilinganisha na wagonjwa wa ukimwi au cancer,Mungu sijui kwa nini aliweka wengine wafe kifo cha mateso,wengine waende pain free ?
 
Back
Top Bottom