Cardiovascular disease...matabibu wataeleza dalili zake,.
Uko sahihi...ntaeditYako mengi, weka kwa uwingi wake. Ni "Cardiovascular diseases"
Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti.
1.sleep apnea
2.stroke ,rupture of brain aneurysm
3.hyoglycemia(kiwango cha sukari kushuka)
4.tatizo kwenye umeme wa moyo(ie tachyacradia,bradycardia,atria fibraliation)
5.damu kuganda na kuziba mishipa ya damu kwenye mapafu(pumonary embolism)
6.drug overdose before sleeping
kwa kuwa hutokea wakati umelala ,upo kwenye usingizi mzito hakuna cha warning sign,yaani unajikuta umeshakufa.Asante mkuu early warning signs?
Kumbuka ni matukio yanayotokea ukiwa kwenye usingizi mzitoAsante mkuu early warning signs?
@MrMiller Vs bbadeSina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.
Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.
Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.
Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.
Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.
K' Matata.
One of the best deaths ever, sema kama hauna dhambi, kama unazo ukifika kule jamaa wanakubadilikia