Rebeca 83 kwani ukipima afya inazuia kifo, au nikukusaidia kufahamu ugonjwa?! Nafahamu unaweza kuwahi matibabu,lakini kifo hakikwepeki.
Ni madaktari hao members [emoji4][emoji4][emoji4]
High blood pressure ya kushuka na kupanda? Sio kwamba kuna HBP na LBP? Nauliza tu!High blood pressure inaweza kuwa ya kushuka au ya kupanda
Ni madaktari hao members πππ
Member mwenzangu kakazia ngoja wakija na wao watafafanua zaid ili tuelimike zaidHata sijakuelewa.....
Aaahhhhhaaaaa kuuumbeeeee........
Sasa nimeelewa........
Ndio maanaaaa duuh!!
Asante sana kwa taarifa mamii.
Member mwenzangu kakazia ngoja wakija na wao watafafanua zaid ili tuelimike zaid
kwa kuwa hutokea wakati umelala ,upo kwenye usingizi mzito hakuna cha warning sign,yaani unajikuta umeshakufa.
ila kwa hiyo rupture brain aneurysm inaweza tanguliwa na maumivu makali ya kichwani yanayoweza kukushtua toka kwenye usingizi ,lakini napo utakosa nguvu za kufanya chochote hivyo kufa. Hiyo kushuka kwa sukari mara nyingi utanguliwa na kutoka jasho jingi ,lakini kwa vile upo kwenye usingizi unawez usihisi chochote hivyo unajifia zako polepole kwenye usingizi
Nahavachee.
Its a credit to me.
Nnapo kupendea ni hapo tuuu unajua sana kuunganisha Dot ah ah ah ah ah ah
Hahaha maana yangu ilikuwa hiyo, kifo hakizuiliki, naona watu hufia hospitali pia. Labda unataka usiwahi kufa, lakini kifo hakizuiliki.Mnh mkuu ni sawa na kusema tunaenda hospital kufanya nini,Kama kifo kipo tu,,yes ukipima ugonjwa na kujua uta adjust your life labda kwa kuanza kutumia medications na hivyo kuendelea kusurvive
Nimekuelewa apa kuna makundi mawili, kundi la kwanza ni lile la wagonjwa wenye matatizo ambayo yanajulikana tayari kwa mfano shinikizo la damu na kisukari,hawa wanakuwa kwenye hatari ya kupata shida hizo za kuzimika ghafla ikiwemo wakati wakiwa wamelala usiku.Kwa mgonjwa wa namna hii anayefata ratiba yake ya kwenda kliniki na kufata maagizo toka kwa daktari wake anapunguza uwezekano wa kupata complications ikiwemo vifo vya ghafla.Nilikua namaanisha hakuna dalili kuwa una ugonjwa huu,hivyo nenda hospital ?kwa maana nyingine ugonjwa unatokea hapo hapo na kifo kinatokea hapo hapo? π£πππ
Mkedhie Mbwange wako
Mkuu unataka kutuambia kuwa mtu akilala nafsi huuacha mwili, hafu inaenda kujoin na watu wengine huko , na inaweza kukamatwa na kuwekwa lupango ya huko, basi kama ndo hivyo wanaochelewa kuamka huenda wanakuwaga na misala ya kuwekwa sero.Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.
Mie tenaa, nna Phd sio tuu ya kuunga unga wala ya dots bali ya signal zote .....[emoji28] [emoji28] [emoji28]