Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jabuuuu..... wuuhuuuuuu
Studd Muffins
Kopakopakopakopakopakopa.......
aaahahahahahhahahahahahaaaaa mie hata sio mchokozi hehehehee
What are trying to explain mkuu... Kwamba high blood pressure then iwe ya kushuka .... Sema blood pressure inaweza kuwa low au highHigh blood pressure inaweza kuwa ya kushuka au ya kupanda
πππhilo jina nimewah lisikia nilichekaaaaaa ikungulyabhashashiπππ dunia simamaHellooo....mimi ni investor kutoka Ikungulyabashashi, Simiyu....
Naomba kuongea na Joyce...
Usiwaze hayo mambo bhana we fanya mambo yako ila tambua kuwa ibada ni muhim sanavifo hivi..mm siingii tena humu naogopa mikosi aisee..nakufaje at this tender age[emoji52]Mungu atusamehemaovu yetu[emoji111]
Usiseme ivyo utawapa shida sana ndugu zako utakao waacha dunia
Maswali yatakuwa mengi kuliko majibu kira mtu atasema la kwake ila kama ur family is stronger bass inaamin iyo ni kazi ya molaah
πππ Harvard ya nanjilinji son....woiiKumbe maza angu ni msomi wa Havard university![emoji1][emoji1][emoji1]
πππhilo jina nimewah lisikia nilichekaaaaaa ikungulyabhashashiπππ dunia simama
Sidhani kama kuna mtu anaweza kupata tabu na kifo changu
My kids are still young
Who else?!
πππππmy ribs..baba watoto? .mm wanangu tu jaman..dahSidhani kama kuna mtu anaweza kupata tabu na kifo changu
My kids are still young
Who else?!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Hornet
Hellooo....mimi ni investor kutoka Ikungulyabashashi, Simiyu....
Naomba kuongea na Joyce...
Ikungulyabashashi ipo kweli. Ipo Simiyu.
Na ndo nilipo hapa sasa hivi.
Kuna ingine ipo Shinyanga inaitwa Bhugimbagu!
Hahaha majina mengine ya Kisukuma huchekesha sana.
Niko kwenye steji ambayo siogopi kifo kabisa
Kuna muda najenga picha yangu nikiwa marehemu,
Nahisi kama nimemaliza kazi iliyonileta duniani
Wala usipate tabu koka mkaa wako vizuri ndani funga kadirisha tu. asubuhi tunakoka majungu ya mchele wakati tukihuzunika kidogo ila baada ya wiki tutakusahau kama Masogange alivyosahaulika kwenye nyuso za dunia.πππππNatamani kufia usingizini
Niko kwenye steji ambayo siogopi kifo kabisa
Kuna muda najenga picha yangu nikiwa marehemu,
Nahisi kama nimemaliza kazi iliyonileta duniani
Mmmhunene[emoji4]
KifafaHello JF,
Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...
Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...
Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......
Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
r u okey?[emoji23][emoji23]hapana bwana usiende mapema hvyo
Wala usipate tabu koka mkaa wako vizuri ndani funga kadirisha tu. asubuhi tunakoka majungu ya mchele wakati tukihuzunika kidogo ila baada ya wiki tutakusahau kama Masogange alivyosahaulika kwenye nyuso za dunia.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Menopause