Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

halafu ukishajua itakusaidia nini? Ama itabadilisha nini katika maisha yako? Una mawazo mgando wewe.


Wengi wenu mmeshindwa kufikia malengo;sio kwasababu hamtaki raha sha;ni kushindwa kujua wale wananini na sisi tuwe na nini ili tutegemeane;ukijua utawapa wengine ambao hawajakipata

Do good avoid evil.
 

Attachments

  • IMG-20131221-WA0002.jpg
    IMG-20131221-WA0002.jpg
    8.6 KB · Views: 456
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe

Km unamaanisha makabila,kwa mtazamo wangu kwa muda mrefu makabila ambayo yanazingatia sana familia kupata elimu kutokana na resources walizonazo,exposure,na misimamo ni
1.wahaya
2.wachaga
3.wanyakyusa

lkn now a days kila sehemu kila kabila haliko nyuma tena,elimu inachukuliwa km suala la msingi.
note:sitokani na kabila lolote kati ya hayo matatu tajwa hapo juu.
 
hii laana ya ukabila itatufikisha wapi watanzania tajadili mambo ya maendeleo siyo kujadli ukabila haitatusaidia
 
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe

Aibu! wauliza makabila katika karne hii?!! binafsi nadhani unatakiwa kuuliza au kuzungumzia changamoto zinazolikabili taifa lako kwa lengo la kujenga utaifa na siyo ukabila,
 
Hakuna aliyewahi kusindanisha so huwezi pata jibu sahihi
 
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe

.......ni makabila gani ambayo Wasomi wake wanaongoza kwa uadiliffu na hofu ya Mungu baada ya kuelimika !
 
mada za kikabila zimepitwa na wakati kwa sasa kila mtu anasoma hizo assumption zilikuwepo enzi za ukoloni then ukijua ni kabila gani utafidika na nini cha musingi jitaidi watoo wako waende shule uiingie kwenya competition
 
Back
Top Bottom