Ni Makosa kufikiri Musonda ni sawa na Phiri!

Sijaona utopolo yeyote aliyepiga kelele. Hata humu jukwaani hakuna Uzi wowote ulioanzishwa ukimsifia huyo musonda. Wewe ndio Utakuwa una hofu nae paka umefika hatua ya kumuanzishia Uzi na umehitimisha ataflop.
Basi ngoja tusubili muda utatupa majibu
 
Uwe unajifunza kuweka akiba ya maneno wewe mbu3 hebu ona unavojiaibisha[emoji116]
 
Usikonde tulia,just back up ya Mayele the GOAT
 
Hata Fei toto wakati anaigia Yanga hakuwa na kiwango kama cha sasa, mchezaji ataboresha kiwango chake kwa kujituma, kufuata maelekezo ya kocha, maslahi, mawasiliano na wachezaji wenzake na kupewa namba mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…