THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Kwahio umechanganywa na wanavyochati kiinglish??View attachment 2480214
Nyama Nyama kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio umechanganywa na wanavyochati kiinglish??View attachment 2480214
Nyama Nyama kidogo
Tunaongoza kwa magoli mengi sanaHao uliowataja wameifanya simba kuwa timu iliofunga goli nying NBCPL
Bora Mpole, huyu kaibuka juzi kaongoza idadi ya magoli kidogo tayari ndugu zetu wanapiga kelele kama wamemsajili Phiri [emoji2]Huyo ni Mpole aliye changamka, muda utaongea tu...
Kwahio umechanganywa na wanavyochati kiinglish??
Uwe unajifunza kuweka akiba ya maneno wewe mbu3 hebu ona unavojiaibisha[emoji116]Nimeona clip yake kwenye page ya muwatwalibu ikiwa na caption kapiga chenga uwanja mzima
Kum rate mchezaji kupitia clip ya sekunde 15 na kumjaza sifa tele kuwa ni hatari wala sio mchongo
Zipo clip za kina Kambole na yule waliyemtoa depo ya SBC huko majuu ambazo zinawaonesha wakiwa na viwango vya kutisha
Lakini leo hii wana Yanga hakuna ambaye anaweza kuridhishwa na maamuzi ya uongozi kama wakiafiki kuwabakiza kikosini.
Mayele ni mchezaji hodari wa wacheza uchi fcPHIRI NI MCHEZAJI HODARI WA MBUMBUMBU.
Ngoja tumuone muda utaamua tu...Bora Mpole, huyu kaibuka juzi kaongoza idadi ya magoli kidogo tayari ndugu zetu wanapiga kelele kama wamemsajili Phiri [emoji2]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hahah musa phiri is better than partson,, son are you serious!??View attachment 2480214
Nyama Nyama kidogo
Kiingereza kilichotumika hapo ni cha darasa la 2B, ukisoma tu hizo meseji unaona mwandishi wake ni mmoja afu ni hewa kabisa.View attachment 2480214
Nyama Nyama kidogo
Kinacho kuuliza nini? Si ungefurahi tumesajiri garasaBora Mpole, huyu kaibuka juzi kaongoza idadi ya magoli kidogo tayari ndugu zetu wanapiga kelele kama wamemsajili Phiri [emoji2]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa kitanzania wako tofauti na mashabiki wengine duniani.Uwe unajifunza kuweka akiba ya maneno wewe mbu3 hebu ona unavojiaibisha[emoji116]View attachment 2480700