Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa.
Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka mine, na sifa yake ya kukaimu ni uchawi tu hakuna kingine.
Tunamuomba Rais awaonee huruma walemavu, huyu mama mshirikina anayekaimu ukuu wa Chuo huu ni mwaka NNE sasa arudishwe wizarani atastaafia huko, Chuo kipate mkuu wa Chuo mpya mwenye vision.
Tafadhali kwa yeyote atakayesoma thread hii tuweke siasa pembeni naomba hili lifike kwenye mamlaka kuu, maana Jenister Mhagama alikwenda lakini ni walewale tu, kuna madudu mengi hata wale wazungu waliokuwa wana chukuwa timu ya Chuo kila mwaka kuipeleka Norway na Sweden wamekata ufadhili.
Tiba ya kwanza huyu kaimu mkuu wa Chuo kwa miaka minne sasa ang'oke ushirikina wake wakarogane huko wizarani, sitanyamaza kwa hili mpaka mamlaka izinduke.