Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

Namuogopa kanizidi elimu mbali kidogo sasa naonaga mambo ya nakupenda mama ni kuwadanganya wale wakina mama wa nyumbani yeye naona ili kumfurahisha aridhike ni mimi kubadilika na kufanya ya maana I mean kuwa baba bora
Hamna, sio sababu wala.....hauna tu strong bond na bi mkubwa, hii huwa ipo.
 
Asante 🙏
Hizi nyuzi zinaniumizaga sana nashindwa kujizuia kulia
Pole yako dada pole sana mimi nilipoteza baba long time sana kiasi kwamba hatujawahi kutiana machoni ila life limeendelea nimekuwa Hatimaye ndege JOHN mwenye Jina lake Mpaka jamii forum ila nahisi kama ningekuwa Sina mama aisee ningeishia njiani kabisa kitaaluma na kimaisha Kwa ujumla.. Mama
 
Hamna, sio sababu wala.....hauna tu strong bond na bi mkubwa, hii huwa ipo.
Sure. Hilo kweli maana tumepishana naye kipindi anaanza kazi kaanzia kijijini mazingira aliona sio mazuri so akaniweka Kwa bibi na babu town na nashukuru bado wazima and then anaenda Mpaka shule Tena kujiendeleza anarudi kutulia kazini anakuta na mimi natoka kwenda shule advance na chuo and then bahati nzuri napata kazi faster so tunapishana naye yaani hatujawahi kuishi zaidi ya miezi Sita pamoja so inaweza kuwa sababu.
 
Pole yako dada pole sana mimi nilipoteza baba long time sana kiasi kwamba hatujawahi kutiana machoni ila life limeendelea nimekuwa Hatimaye ndege JOHN mwenye Jina lake Mpaka jamii forum ila nahisi kama ningekuwa Sina mama aisee ningeishia njiani kabisa kitaaluma na kimaisha Kwa ujumla.. Mama
Umeongea yote na umemaliza kaka, mama ana mchango mkubwa sana kwa familia.
Bado namshukuru Mungu kwa malezi yake machache nimekuwa binti wa mfano na kufanya wengine kutamani kuwa km mimi (nje ya JF)
Ila natamani angekuwepo aone mafanikio yangu lkn naishia kusema “Tulikupenda zaidi, endelea kupumzika kwa amani” 🥹🥹🥹
 
Sure. Hilo kweli maana tumepishana naye kipindi anaanza kazi kaanzia kijijini mazingira aliona sio mazuri so akaniweka Kwa bibi na babu town na nashukuru bado wazima and then anaenda Mpaka shule Tena kujiendeleza anarudi kutulia kazini anakuta na mimi natoka kwenda shule advance na chuo and then bahati nzuri napata kazi faster so tunapishana naye yaani hatujawahi kuishi zaidi ya miezi Sita pamoja so inaweza kuwa sababu.
Na hii ndio sababu
 
Kuna kabond hakajajengeka, yani gundi haijashika ndio maana.....pole
Mimi zamani nilikuwa naweza kumkumbatia, kupiga nae picha

Ila huu uteenager ulivyoingia ikawa issue

Natamani na ninaweza, ila sitaki tu naona namkomoa sijui😆

Ila mimi mjinga sana
 
kama mama yako yuko hai mwonyeshe upendo afurahi, kuna watu wanatamani wangekuwa kwenye nafas yako watamke neno nakupenda mama
 
Uduguu huna mama? Polee sana.
[emoji24][emoji24][emoji24], nimejisikia vibayaa.
Sina udugu wangu 😔😔😔
Ameniacha nikiwa kadogo huku bado namuhitaji…… na zaidi alifariki mwezi na tarehe ambayo nilizaliwa.
Hata birthday yangu naionaga ya uchungu inanikumbusha kifo chake…!!!

Udugu mpende mama yako, wote watakutenga dunia hii ila sio mama..!!
Nilishanunulia mama za watu zawadi nyingi lkn bado nahitaji angekuwepo mama yangu nimuonyeshe yule binti uliyemtarajia amekuwa vile ww ulitaka…..!!
 
Back
Top Bottom