Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Zaman nilkuwa ninaduwaa nikiona vituko kanisan(walokole na wasio walokole).Lakini ilibidi nifunze conditions zinapelekea vituko kutokea vya ajabu kanisani kama vile ugomvi mkubwa, ushirikina,ubaguz na usaliti.
Niliamua kulichimba hilo baada ya kushuhudia mtifuani mkubwaa sana kwenye kanisa la walokole mkoa flan, kiasi kwamba kanisani kuligeuka goma.
Katika mambo niliyojifunza nikwamba ukiona wew au kanisani kwako kuna yafuatayo unaweza au kanisa linaweza kuwa katika taflan at any time
1.Ukabila kanisani
2.Ushabiki au itikad za kisiasa au mwanasiasa kanisani.
3.Kushabikia mtumishi wa Mungu (Padree au Mchungaj) kupita kias.
4.Kuwanyenyekea kupita kias waumini wenye pesa, maarufu au wenye vyeo au wenye status za juu.
5.Waumin au kanisa kuogopa sana nguvu za giza hasa uchawi katika eneo husika.
6.Kanisa kuamini sana miujiza kuliko neno.
7.Kanisa kuwa na waumin wengi wenye uelewa mdogo juu ya jamii isiyo au zisizo asilia katika eneo hilo.
8.Kanisa kuwa na waumini wafia mila na desturi za asili yao.

Mambo kama hayo yakiwepo kanisani kama kautamadun flan hivi, ujue linaweza tokea jambo la kukuduwaza.

Hiyo #1 ukienda mikoa ya mipakan(magharibi) ni waz kabisaa hutakosa watumishi(mapadree na wachungaji) wanao tifuana juu ya kinachoendelea huko drc goma. Manake hapo ujue ukabila una uzito kuliko imani. Yaani hawako na Yesu ila wako na itikadi za baba zao.
 
Acha upumbavu na kisauti chako cha kike kike hicho unakuwa kama shoga?

Huelewi nini maana ya kutabaluku wewe?
Huelewi nini maana ya ubani wewe?
Huelewi nini maana ya mafuta ya utakaso wewe?
 
Sahihi
 
Daah aisee sisi binadamu ni wabishi. Sasa wenye kanisa wamekwambia usiende, wewe umewagomea
 
Nieleze, namba zipo au hazipo?
Namba zipo, zinaonekana zipo.

Na tunazitumia katika kufanya mahesabu.
Uthibitisho ni nini?
Ni hali inayo onyesha kitu au jambo fulani lilivyo au lilivyofanyika.
Tunachothibitisha ni nini?
Kitu au jambo fulani.
Kitu gani tunathibitisha?
Kitu chochote kile.
Hadithi ni nini?
Ni masimulizi yaliyo katika maandishi au maongezi.
 
Thibitisha kwamba namba ni kitu au sio kitu?
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kupimika na kuhisika.

Namba zipo. Tunazitumia katika kufanya mahesabu.

Unaweza kuandika namba
1, 2, 3, 4, 5.........

Zikaonekana zipo.
Kuzungumaza ni nini?

Kusema ni nini?
Wewe unauliza illogical questions.

Mwisho wa siku utauliza, nini ni nini?
 
Wewe unauliza illogical questions.

Mwisho wa siku utauliza, nini ni nini
Kama kadiri ya ulivyofafanua, hadithi ni maandishi au maongezi.

Kwa jinsi gani uwepo wa kitu au jambo linalozungumzwa au linalosemwa sio hadithi?
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kupimika na kuhisika.

Namba zipo. Tunazitumia katika kufanya mahesabu.

Unaweza kuandika namba
1, 2, 3, 4, 5.........

Zikaonekana zipo.
Hayo maelezo yako yamejikita kwenye kuoneneka kwa namba. Lakini hayajibu swali: namba ni kitu au sio kitu?

Hatuna maandishi bila karatasi (kitabu), bila ubao wala monitor au magome. Hivyo hivyo hatuwezi kuona namba mpaka zinapoandikwa kwenye karatasi (kitabu), ubao, monitor au magome.

Usipokuwa na karatasi (kitabu), ubao monitor, au magome, vifaa vinavyoandikwa namba au maandishi unaweza kuona namba?

Unaweza kuhisi, kupima kusikia kugusa namba bila kuhitaji kitu kingine mathalani kitabu au ubao?
 
Hizo chembe ndogo sana ni za nini?
Nywele, Ubongo, Moyo, damu, Ngozi, Ulimi, Macho au Mifupa.

Iweje mfu mlio uita Mtakatifu ndio uweze kutabarulu eneo la kabisa na so jina la Yesu, ambaye ni bwana na mwokozi wa maisha yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…