Zaman nilkuwa ninaduwaa nikiona vituko kanisan(walokole na wasio walokole).Lakini ilibidi nifunze conditions zinapelekea vituko kutokea vya ajabu kanisani kama vile ugomvi mkubwa, ushirikina,ubaguz na usaliti.
Niliamua kulichimba hilo baada ya kushuhudia mtifuani mkubwaa sana kwenye kanisa la walokole mkoa flan, kiasi kwamba kanisani kuligeuka goma.
Katika mambo niliyojifunza nikwamba ukiona wew au kanisani kwako kuna yafuatayo unaweza au kanisa linaweza kuwa katika taflan at any time
1.Ukabila kanisani
2.Ushabiki au itikad za kisiasa au mwanasiasa kanisani.
3.Kushabikia mtumishi wa Mungu (Padree au Mchungaj) kupita kias.
4.Kuwanyenyekea kupita kias waumini wenye pesa, maarufu au wenye vyeo au wenye status za juu.
5.Waumin au kanisa kuogopa sana nguvu za giza hasa uchawi katika eneo husika.
6.Kanisa kuamini sana miujiza kuliko neno.
7.Kanisa kuwa na waumin wengi wenye uelewa mdogo juu ya jamii isiyo au zisizo asilia katika eneo hilo.
8.Kanisa kuwa na waumini wafia mila na desturi za asili yao.
Mambo kama hayo yakiwepo kanisani kama kautamadun flan hivi, ujue linaweza tokea jambo la kukuduwaza.
Hiyo #1 ukienda mikoa ya mipakan(magharibi) ni waz kabisaa hutakosa watumishi(mapadree na wachungaji) wanao tifuana juu ya kinachoendelea huko drc goma. Manake hapo ujue ukabila una uzito kuliko imani. Yaani hawako na Yesu ila wako na itikadi za baba zao.