Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Hakuna Binadam Anayekosa Imani Ya Kuamini
Kwa nini uhitaji kuamini badala ya kujua?

Mimi sihitaji kuamini Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi, na uthibitisho.
Ila Ujinga Wako Ndo Umekusahaulisha Kwamba Hata Hiyo Uliyo Nayo Ni Dini Pia Kwani Fomula Ya Maumbile Ni Uwili.
Mimi sina dini wala imani ya aina yeyote ile.
Mungu V Shetani
Kushukuru V Kukufuru
Kukubali V Kukataa
Kucheka V Kulia
Kuzaliwa V Kufa
Mwanaume V Mwanamke
Vitu kuwa viwili viwili si imani wala dini.
Sasa Nyie Mnaojifanya Mnakataa Habari Za Mungu Mpo Kundi La Mashoga.
Mashoga ni Baba na Mama yako waliozaa punguani na mwehu kama wewe ambaye huwezi kufikiria kwa utimamu.

Hakuna sehemu yeyote kwenye huu pametajwa "ushoga"

Machoko kama wewe mnaofukunyuliwa huko nyuma ndio mnapenda kuleta habari za ushoga.

Maana mnawashwa washwa huko nyuma.
This kind of fallacy is called ad hominem attack.

Badala ya kujibu hoja kwa hoja unaleta Viroja.

Jibu kwa hoja. Kama huwezi tulia.

Unless otherwise ukitaka matusi, I can activate my vawulence.
 
Mashoga Mna Ugomvi Gani Na Mungu ?Kisa Kukataza Huo Ushetani Ndo Mna Hasira Na Yeye? Kumbukeni Yeye Ndo Ana Hasira Na Nyie Na Kuna Siku Mtarejea Kwake Na Mtasahiriwa Hiyo Ni Utake Usitake Upende Usipende Uamini Usiamini.
 
Ila makafiri 🙌🙌🙌🙌 sasa kwani kakwambia yeye muislamu?
 
 
Hyo ni kawaida mbna kila kanisa kubwa wanazika, ila bora roman. Nilienda kanisa moja la walokole kuna chumba kimoja alikua anafikiaga mwalimu wao, nilistaajabu kuona mle nguo NYEKUNDU na NYEUPE na dawa dawa mafundo. Nilitokamo fasta mle ila ckuonwa na mtu.

KWAHIYO..
Yakaisari tumwachie kaisari..
Ya mama samia tumwachie mama..

Kuna mambo mazito ya siri yanaendlea asilimia kubwa makanisa yote(ucnikatalie kwan kuna siri nying hufanyika nyuma ya pazia). Kwahy wew kasari kwa iman mengne uctake kujua(chakula kitamu kimepikwa vip jua kula). Ila nyuma ya pazia ukijua utadharau kila kitu. Ila amin M-ngu yupo.
 
Mashoga Mna Ugomvi Gani Na Mungu ?Kisa Kukataza Huo Ushetani Ndo Mna Hasira Na Yeye? Kumbukeni Yeye Ndo Ana Hasira Na Nyie Na Kuna Siku Mtarejea Kwake Na Mtasahiriwa Hiyo Ni Utake Usitake Upende Usipende Uamini Usiamini.
Don't come to vomit your nonsense here!

Mashoga ni Baba na Mama yako waliozaa zumbukuku kama wewe.
 
Kama ni Mkristu waweza kuwa Mkatoliki au Mprotestanti, period. Tuacheni Wakatoliki na imani yetu. Hili ndilo kanisa aliloliacha Yesu Kristu na hili ndilo atakalolikuta siku ya mwisho baada ya ufufuo. Wewe ndiye Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu (Mathayo 16:18)

Hatubishani na mtu, wala hatuogopi matusi yenu. Kanisa lina miaka 2025, na lina waumini 1.4 Bilioni duniani kote ambayo ni 20% ya watu wote duniani. Dunia ina watu Bilioni 7 kwa sasa. Ina maana kila ukikutana na watu watano duniani, mmoja wao ni Mkatolili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…