The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Ni kweli Chauro kitu kingine ni je unaposamehe yule unayemsamehe ni kweli anakuwa amejifunza kutokana na makosa au ndio ile kuchukuliana for granted kwamba no matter what hata nikikosea nikimuomba msamaha atanisamehe tu kwasababu ananipendausisahau kitu kimoja ubaya una mwisho finest utamsamehe huku akiendelea na mizaha yake but you know what kuna siku atalipa ujira kwa kazi anayokufanyia kwa njia yoyote ambayo wewe hautahusika.embu jiulize ukiishi miaka 50 na vinyongo au kutoa wiki moja ukasamehe maisha yakaendelea,maisha nani atakuwa anaumia?
Kuna watu hua wanaongelea msamaha as if ni neno tu bila matendo...yani unaomba tu kirahisi NISAMEHE na mimi najibu tu NIMEKUSAMEHE ilimradi umeomba na mimi nimejibu.
Utasikia watu wakisema ohh hamna lisilosamehewa...mara samehe mara saba sabini...hivi ni rahisi kiasi hicho???
Mtu anacheat over and over again...nae anastahili msamaha??
Mtu amekuulia mwanao kwa makusudi...anaanzia wapi kukuambia samahani na wewe kumsamehe??
Mtu aliyekubaka kwa kukusudia....unamwangalia vipi mpaka umpe huo msamaha!
Kuna mambo mengi tu ambayo binafsi naona na ninaamini ni ngumu sana kusamehe kwakweli!Huwezi kuwambia mtu ohh samahani kwa kukubaka...naomba unisamehe na mimi nikasema okeyy yameisha au nikakataa ukaanza kunipa mistari ya biblia!!
JAMANI HATUISHI KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO!!!...NA KAMA INGEKUA HIVYO KUSINGEKUA NA DHAMBI !!!
Embu tuwe wakweli....unaweza kusamehe chochote kile??
Msamaha does not mean kwamba uendelee kukaa na mtu...., What I mean ni kwamba you let it go.... lakini unamake sure that does not happen again unaweza ukamuacha mwenza wako and go separate ways lakini ukamsamehe na sio ku-hold the grudgeKuna ishu zingine bana kusamehe ni kama vile kimeo imagine mwanamke anayepigwa na mumewe kila siku hapo unaweza kuwa unasema unamsamehe mtu mumeo .
Ubakwe halafu useme usamehe?? Tatizo ni yale makovu yanayokuwa ndani imagine kila siku unakutana na huyo mbakaji wako how would you feel?? Hapo sidhani kama msamaha utafanya kazi
Hapo VOR tuko pamoja wengi wetu ndio tunashindwa hapoMsamaha does not mean kwamba uendelee kukaa na mtu...., What I mean ni kwamba you let it go.... lakini unamake sure that does not happen again unaweza ukamuacha mwenza wako and go separate ways lakini ukamsamehe na sio ku-hold the grudge
Baba Mchungaji:clap2::clap2::clap2:Mat 6:14
http://biblia.com/bible/niv/Matthew 6.14For if you forgive men when they sin against you, your heavenly Father will also forgive you.
Ephesians 4:32
Be kind and compassionate to one another, forgiving each other, just as in Christ God forgave you
Lizzy
Forgiveness is a decision of the will. Since God commands us to forgive, we must make a conscious choice to forgive. This frees the forgiving one from the past. Once you forgive you should bury it and forget. You should move on.
Wacheki uwe upate amani mpenzi!Hawa watu wanafanya mchezo!
Ni kweli Chauro kitu kingine ni je unaposamehe yule unayemsamehe ni kweli anakuwa amejifunza kutokana na makosa au ndio ile kuchukuliana for granted kwamba no matter what hata nikikosea nikimuomba msamaha atanisamehe tu kwasababu ananipenda
Moyo hutulia tu endapo utalipiza kwa
1. kumsamehe au
2. jino kwa jino.
mara nyingi hii ya pili ndo inafanya kazi kweli kweli moyoni, kusamehe bwana hakuishi, kuna siku utakumbuka tu na pia ni ni yakinadharia zaidi. Ni kama mtu anatoa pesa feki na kupewa dhahabu feki, anayepokea msamaha na anayetoa wote yawezekana ni maneno tu ila moyoni bado limo. Ila jino kwa jino hapo ni biyeeee, e.g akibaka nayeye wanamdo ili wote wabaki na kumbukumbu mbaya maishani mwao
Kuna watu hua wanaongelea msamaha as if ni neno tu bila matendo...yani unaomba tu kirahisi NISAMEHE na mimi najibu tu NIMEKUSAMEHE ilimradi umeomba na mimi nimejibu.
Utasikia watu wakisema ohh hamna lisilosamehewa...mara samehe mara saba sabini...hivi ni rahisi kiasi hicho???
Mtu anacheat over and over again...nae anastahili msamaha??
Mtu amekuulia mwanao kwa makusudi...anaanzia wapi kukuambia samahani na wewe kumsamehe??
Mtu aliyekubaka kwa kukusudia....unamwangalia vipi mpaka umpe huo msamaha!
Kuna mambo mengi tu ambayo binafsi naona na ninaamini ni ngumu sana kusamehe kwakweli!Huwezi kuwambia mtu ohh samahani kwa kukubaka...naomba unisamehe na mimi nikasema okeyy yameisha au nikakataa ukaanza kunipa mistari ya biblia!!
JAMANI HATUISHI KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO!!!...NA KAMA INGEKUA HIVYO KUSINGEKUA NA DHAMBI !!!
Embu tuwe wakweli....unaweza kusamehe chochote kile??
je mpenzi wako akisex nje na mwanamke mwingine,
na wewe utafanya the same?
Ngoja nianze na wewe ili nikamalizie na Lizzy.Kuna ishu zingine bana kusamehe ni kama vile kimeo imagine mwanamke anayepigwa na mumewe kila siku hapo unaweza kuwa unasema unamsamehe mtu mumeo .
Ubakwe halafu useme usamehe?? Tatizo ni yale makovu yanayokuwa ndani imagine kila siku unakutana na huyo mbakaji wako how would you feel?? Hapo sidhani kama msamaha utafanya kazi
We are mending it slowly but sure!!another BROKEN HEART....!
Absolute truth!Wakati msamaha unaendana na KUSAHAU..utawezaje wakati majeraha yako pale..makovu..aliyekutenda unamuona kila siku!Ubakwe halafu useme usamehe?? Tatizo ni yale makovu yanayokuwa ndani imagine kila siku unakutana na huyo mbakaji wako how would you feel?? Hapo sidhani kama msamaha utafanya kazi