Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Kazi anayo aisee
 
Unataka kauhuru flani hivi, ukishuka Airport uwe huru kuchagua aina ya usafiri unataka, ila shukuru kwa kumpata wa namna hiyo, he cares! Binafsi pia nampokea, ila kwa kuombwa, yaani siwezi kwenda kwa Magufuli bila yeye kuniomba.
 
Je anakagua simu yako?
2: mnapiga stories mkiwa home au ana gubu.
 
Mkuu siku utapata matatizo huko, yeye atahisi ni kawaida yako either kutokurudi home, yaani mkeo asikuulize umetoka wapi uchelewa bila taarifa, mbona ubabe sana๐Ÿค”
 
Kazi anayo mwanamke mwenzetu,mim hapa nilipo nabaki hapa hapa aisee hakuna marafiki ni sisi tu mi na yeye tu
Sipendi mwanaume anashinda na marafiki muda mwingi wana kunywa pombe au kuzurura hovyo
Pashikilie shoga, maana hali sio ni kupelekwa kama ng'ombe usiulize mume alipo usishike simu yake akirudi saa tisa poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ